Ushuhuda wa namna nilivyopungua uzito

Ushuhuda wa namna nilivyopungua uzito

Very simple kunywa maji ya uvuguvugu ama ya moto wakati wote hata wa jua kali (pia maji vuguvugu ama moto ni dawa).Hakikisha unywi vinywaji baridi kabisa kwa mwezi mzima,

Pia kama uko vizuri mazoezi ya mbio za speed.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unene haupendezi asikwambie mtu na corona hii ikikupata kama mtu mnene hatari sana.ila wengine tunatamani tuwe wakawaida.

Sir dreamcheaser
Kilo 70 mkuu sio unene huo mi nataka nifike 70 mwisho 73 au 74 ila ndo naishia 69.0😂😂
Itategemea na unavyojiweka tu ukiwa mtu wa kazi hizo sabini unakuwa kawaida mbona wapo wenye 70 nawajua na wapo kawaida kabisa
 
Safi Kabisa. Njia nzuri sana, unaishi maisha yako ya kawaida, unarekebisha idadi ya milo na ujazo wa chakula, ukiongeza na mazoezi kidogo, hapo utapungua bila shida na bila ya kuhofu kuongezeka uzito.
Mambo ya diet maalumu ya kupunguzuza uzito utasikia J'3 supu ya kuku na kiazi 1, J4 mtindi na mbogamboga, J5 matunda na samaki wa kuchemsha - huo niuongo sababu unaishi maisha ya kuigiza ambayo yana mwisho na utarudi kulekule kwenye kufakamia miugali na ubwabwa.
Mkuu diet ni kwamba sio mbaya ila ni changamoto sana,ila kama mtu huna hela ukifunga ni vizuri sana.

Sir dreamcheaser
 
Kilo 70 mkuu sio unene huo mi nataka nifike 70 mwisho 73 au 74 ila ndo naishia 69.0[emoji23][emoji23]
Itategemea na unavyojiweka tu ukiwa mtu wa kazi hizo sabini unakuwa kawaida mbona wapo wenye 70 nawajua na wapo kawaida kabisa
Angalia mkuu ila usiombe sana kunenepa,na ukinenepa kurudi kwenye hali yako ni ngumu.

Sir dreamcheaser
 
Very simple kunywa maji ya uvuguvugu ama ya moto wakati wote hata wa jua kali (pia maji vuguvugu ama moto ni dawa).Hakikisha unywi vinywaji baridi kabisa kwa mwezi mzima,

Pia kama uko vizuri mazoezi ya mbio za speed.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu,hata soda hizi ni mbaya lakini ukichanganya na maji atleast inakuwa.

Sir dreamcheaser
 
Nataka nifike kilo sabini kumbe wengine mnataka kuzishusha chini ya sabini!! Wakati Mimi nakomea 69.0 halafu mtu ana 72 anataka ashuke[emoji23][emoji23]
Kweli hatufanani
[emoji23][emoji23][emoji23]nataka kufika 68 yani nina 72 tangu january sijafanikiwa kupunguza hata nukta

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
 
Unapoanza kula unakula chakula gani?
Ukianza kula hiyo saa sita anza na matunda mkuu au mboga za majani ndo ufuate wanga.pia jitahidi kunywa maji nusu kabla ya kula na baada ya kula kunywa maji tena.pia usifakamie kula tu pale unapohisi njaa.
Pia jaribu kutumia vyakula mbadala yaani baada ya white bread tumia-brown bread
Mayai ya kukuanga- wewe chemsha
White rice-brown rice
Pia tumia kiwango kidogo cha mafuta.

Mimi situmii wali wala ugali, nakula viazi vitamu saa sita hivi mchana baada ya hapo ni mboga mchicha na nyama au samaki hiyo sa kumi na moja jioni au kumi na mbili baada ya hapo sili tena mpaka kesho, napungua ila kdogo sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23]nataka kufika 68 yani nina 72 tangu january sijafanikiwa kupunguza hata nukta

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
Angalia wapi unakosea ndo urekebishe sometime nenda kijijini kashike jembe uone unavyopukutika😂😂
Labda kuwe ni kijijini ambako kuna msosi wa maana halafu hakuna zile za kuamka saa kumi na jembe la ng'ombe! Mbona kilo zitayeya tu mpk utaanza kuzitamani Tena😂😂
 
Safi Kabisa. Njia nzuri sana, unaishi maisha yako ya kawaida, unarekebisha idadi ya milo na ujazo wa chakula, ukiongeza na mazoezi kidogo, hapo utapungua bila shida na bila ya kuhofu kuongezeka uzito.
Mambo ya diet maalumu ya kupunguzuza uzito utasikia J'3 supu ya kuku na kiazi 1, J4 mtindi na mbogamboga, J5 matunda na samaki wa kuchemsha - huo niuongo sababu unaishi maisha ya kuigiza ambayo yana mwisho na utarudi kulekule kwenye kufakamia miugali na ubwabwa.
Haaaaaaaaaaaa Ni kweli kabisa mkuu nimeliwa hela yangu hivi hivi na maunga ya kupunguza uzito

House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
 
Mimi situmii wali wala ugali, nakula viazi vitamu saa sita hivi mchana baada ya hapo ni mboga mchicha na nyama au samaki hiyo sa kumi na moja jioni au kumi na mbili baada ya hapo sili tena mpaka kesho, napungua ila kdogo sana
Ukianza kula huwa unaanza hivyo viazi au?

Sir dreamcheaser
 
Back
Top Bottom