Anahitaji kusaidiwaPole sana, Bora ww ulipata UKOMBOZI baada ya kuteswa sana, kuna yule jamaa wa nyimbo ya Harmonize-"SINA" mpaka leo maisha ni magumu na ni bora ya jana kuliko ya leo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja Mshana aje[emoji125] [emoji125]kikulacho ki nguoni mwako alompa ile dawa ni ndugu yetu mpendwa mshana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mna maneno nimecheka snkikulacho ki nguoni mwako alompa ile dawa ni ndugu yetu mpendwa mshana.
Mkuu mfungo wa Siku 40 umeanza pale kimara korogwe... VITA VYA KIROHO KTK ULIMWENGU WA KIROHO.Ndiyo salama pekee tuliyonayo
Hahaha jiandae kulima hekari 10 usiku.kikulacho ki nguoni mwako alompa ile dawa ni ndugu yetu mpendwa mshana.
Atakomaa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]Hahaha jiandae kulima hekari 10 usiku.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Atakomaa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]
Uwiiiii aseee uyu inabidi tukae nae mbali asije tuletea balaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nasikia kuna mtu alimwambia atakufa na akafa kweli, Mshana sio wa mchezo mchezo[emoji40] [emoji125]
Hahaha usiogope bhana, hana shida kama hujamchokoza, hata moto ni mbaya usipotumika vizuri.[emoji12]Uwiiiii aseee uyu inabidi tukae nae mbali asije tuletea balaa
[emoji23][emoji23]ayaaaHahaha usiogope bhana, hana shida kama hujamchokoza, hata moto ni mbaya usipotumika vizuri.[emoji12]