Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,100
- 8,213
Duuuu pole sana ndugu, Mungu ni Mwema kila wakati.
Yaani humuamini mumeo, kwanini?hii kali ila simuamini sana@bujibuji
Habari ndiyo hiyoMwe tuko Leo Tena ya JF
Du...Ile bendi ya kitambaa cheupe nayo sijui vipi!!!Uchawi wa kitambaa cheupe
King KikiDu...Ile bendi ya kitambaa cheupe nayo sijui vipi!!!
Sijui ndo maana huwa napenda kwenda huko...hata kama sina hela huwa nakopaKing Kiki
umefungua box au umelichana?Bado kidogo tu waliokuwa wanadhani huyu mke wa mtu anafaa watapata maombi ya 'ukombozi mkuu' kisha pepo ataondoka...2020 tutafunga ndoa na mchumba halali!
ukitaka kumpoteza mswahili mfiche kwenye maneno...watakuja hadi wapendwa hapa kuombea pepo la kitambaa cheupe!umefungua box au umelichana?
HakikaVita hivi si vya damu na nyama