USHUHUDA: Vifurushi vya Internet vya Airtel ndiyo vya ukweli.Wengine wezi tu

USHUHUDA: Vifurushi vya Internet vya Airtel ndiyo vya ukweli.Wengine wezi tu

Kuna wizi mkubwa sana Tigo na Voda.. Hapo awali kifurushi cha GB 1 nilitumia wiki nzima bila kuisha ila siku hizi GB1 hata siku tatu hazifiki na wala sijaongeza matumizi na natumia 3G tu
 
Sema Tuombe Sana Wasipate Pepo La Kubadili Maana Mgema Akisifiwa???......
 
we ni PR wa Airtel sio bure. waambie hao jamaa wajirekebishe maana wana spidi mbovu ka kobe mlemavu wa kiuno
 
Airtel wako vizuri sana vifurushi vyao hasa vya internet.

MB hazipukutiki haraka kama walivyo wezi Vodacom na Tigo.Huku ni moto mbaya.

Airtel laini ya chuo ukiweka TZS 6'000 kwa mwezi inatosha sana. Unaenjoy sana.

Pumbavu zao wamesha badilisha mida hii hakuna tena mkuu... buku 6 2gb afu ile ya buku 1gb .....

Hata sijui nihamie mtandao upi maana yooote baba yao mmoja
 
Umapatav
Airtel wako vizuri sana vifurushi vyao hasa vya internet.

MB hazipukutiki haraka kama walivyo wezi Vodacom na Tigo.Huku ni moto mbaya.

Airtel laini ya chuo ukiweka TZS 6'000 kwa mwezi inatosha sana. Unaenjoy sana.
GB ngapi hapo?
 
Nipo mkoa fulani nafanya ya biashara fulani ikiwemo ya kuuza vocha, wanunuaji wa vocha za voda wamepungua sana
 
Mkuu hapo umeongea ukweli mtupu na hicho ndio kinanifanya nishindwe kuweka vocha laini yangu ya voda sababu ni wezi kweli MB zinaisha kama upepo.

Mimi nina laini yangu ile ya zamani kweli ya Celtel inaofa fulani hivi ya UN nikiweka 1500 wananipa MB 750 na dakika zangu 150 week nzima yaani MB natumia kweli haziishi na zikisha kabla ya week kuisha naweka tena zile dakika zangu zinaendela mpaka muda huu ninapoandika ninasekunde zisizopungua laki moja na elfu mbili, kwa kweli airtel ni waiungwana sana kwenye hili.
 
Airtel hata bure na kifurushi cha milioni 10 sichukui.

Siku nilikua na update OS toka android 6 kwenda 7, only 1GB airtel ilimaziza masaa 5 hata MB 100 haijafika na niko hapa mjini, sina hama nao.

Nilipoweka Voda 4G haikuchukua hata dakika 5.

Kuna mitandao ya sim hata bure situmii, jaza ujazwe na airtel.

Binafsi sijawahi kuona mtandao wenye internet ya kasi kama Vidacom, Halotel pia sio mbaya sana.
Voda baba lao tatizo bei tu
 
6000 unapata GB ngapi?

Back
Top Bottom