Ushuhuda: Tuache kutafuta mahusiano MITANDAONI

H Hao wa mtaani unajuaje kama ni watu au majini? Kwa taarifa yako, walioko mitaani ndio wapo mitandaoni!
 
Kabla hujazaliwa umepangiwa utakufa kwa ugonjwa upi? Sipotezi muda kuangaikia yalopangwa na mola.
 
watu wanaelewa sana na wanajitahidi sana tatizo vi tight na vi super mini vinajua sana kubadilisha akili kuekekea wehu. labda tungekua na macho utosini ingesaidia, lakini binadamu alivyo mbishi nafikiri angeinama ili apate kushuhudia [emoji23][emoji23]
 
hongera kwa hilo... Don't ever beleave any on
 
Nyege haina utani kabisa
 
Kabla hujazaliwa umepangiwa utakufa kwa ugonjwa upi? Sipotezi muda kuangaikia yalopangwa na mola.
Una uhakika gani....kama hapo ningepata ngwengwe si ungekuwa ujinga wangu...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…