BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,875
- 20,354
Zelenskyy hapa kidogo umeniacha njia panda. Kwahiyo hao wanyama unawanunua unawaweka wapi? Au jamaa wana zoo pale Kiev?
Hauko makini wewe kichwa maji ni nani amekuambia umuamini mwanamke hujui kama wanawake hawatumii akili zaidi ya hisia nenda kwa waganga wanawake ni wengi kuliko wanaume nenda kwa wachungaji feki pia wanawake ni rahisi kuwadanganya kuliko wanaume baada ya wewe kumkomboa dada ako eti ndo anakushawishi uibiwe.Huwa Niko makini comred..,haya yote yalitokea kwa sababu nilipewa ushuhuda na dada yangu wa damu hambaye tunaheshimiana sana..,na dada yangu alikuwa miongoni mwa watu wa mwanzoni kabisa,unaambiwa hizi kampuni za kitapeli wa mwanzoni ndio Huwa wanafaidi Ili wapate kuwavuta wengine!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Yaani ujue dunia inanifurahisha sana 😂 Kwahiyo wakanunua nyoka wa kwenye computer!!? 🤣binti kiziwi unacheka nini? Hutaki kuwa tajiri wewe? Siku hizi wanyama wanafungwa kwenye computer... wewe baki na mi-ng'ombe yako huko porini...
We jamaaa utaniua kichekome nilikuwa nakaribia kununua kiboko
Kumbe alipewa ushauri na bado akakaza shingo [emoji3][emoji3]lakini kilichotokea mpaka muda huu, naomba mwenye ushuhuda aongezee[emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole sana kwenye ile post yako nilikwambia ukiona unaitiwa fursa basi huyo fursa ni wewe!
Wewe mshukuru Manani anua tanga maisha yasonge! Na huna haja ya kumlaumu dadaako kwakuwa naye alishawishiwa na mtu aliyemuamini sana na huenda naye kabamizwa ila hawezi kukuambia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuja humu watu wakakukatalia usijiunge, saizi umepigwa unakuja kulia humu, nenda kalie kwa dada ako sasaHuwa Niko makini comred, haya yote yalitokea kwa sababu nilipewa ushuhuda na dada yangu wa damu hambaye tunaheshimiana sana, na dada yangu alikuwa miongoni mwa watu wa mwanzoni kabisa,unaambiwa hizi kampuni za kitapeli wa mwanzoni ndio Huwa wanafaidi Ili wapate kuwavuta wengine!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tungekuwa china tungesema ni wa msosi sasa huku tz wa kazi gani? Halafu nyoka mwenyewe kauziwa mtandaoni bila hata kupewa huyo nyoka. Kàma alikuwa na shida ya nyoka si angedownload tu😂😂😂😂 enhee sawa. Nyoka unamnunua wanini?