Ushuhuda: Nimedhulumiwa na kampuni ya Sunranch

Ushuhuda: Nimedhulumiwa na kampuni ya Sunranch

Wewe ni MPUMBAVU tu, tena chizi kabisa.

Juzi tu hapa umeleta uzi, mimi ni mmoja wao nikakwambia hao ni wajanja wajanja tu, pumbavu kabisa, wapumbavu kama nyie mnaotumia hisia badala ya uhalisia ni wa kupigwa risasi au kutolewa kwenye kundi la wanaume. 😠😠😠😡😡😡
Anasema aliogopa kumvunjia dada yake heshima kama atamkatalia. Sasa nashangaa anapolalamika si ni kumvunia heshima zaidi?
 
Huwa Niko makini comred..,haya yote yalitokea kwa sababu nilipewa ushuhuda na dada yangu wa damu hambaye tunaheshimiana sana..,na dada yangu alikuwa miongoni mwa watu wa mwanzoni kabisa,unaambiwa hizi kampuni za kitapeli wa mwanzoni ndio Huwa wanafaidi Ili wapate kuwavuta wengine!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Umaskini Kweli ni mbaya Sana 🥺
 
Wanabodi, najua wengi mtaniita mjinga au hata mpumbavu, lakini kabla ya kufanya hivyo naomba kwanza msome andiko langu

Siku 5 zilizopita nilipandisha Uzi hapa jukwaani nikiomba kujulishwa kama ni kweli kampuni hii ya mtandaoni inaitwa sunranch Ina ukweli wowote au ni matapeli kama walivyo matapeli wengine.,nilifanya hivyo baada ya dada yangu wa damu kabisa ninayemheshimu sana kunishawishi nijiunge na kampuni hii kwa kununua mnyama na kuanza kupiga faida.,bila Shaka wote mnajua ukaribu wa mtu na dada yake hasa mkiwa mnaheshimiana

Dada yangu alikuwa miongoni mwa watu wa awali kabisa waliojiunga na kampuni hii ya kununua wanyama mtandaoni na huenda ni kweli alipata faida na kuamua kunishirikisha kama ndugu yake..,aliponiambia na kunishawishi nijiunge niliona kama nikikataa nitamvunjia heshima ,hasa ikizingatiwa ya kwamba naamini dada hawezi kunidanganya Ili nipigwe.,

Basi kilichofuatia ni kwamba alifanikiwa kunishawishi nikanunua wanyama wawili, mmoja wa laki Moja na elf thelasin,na mwingine wa elf thelasin na tano..,hao wanyama kwa mjibu wa hiyo kampuni ilitakiwa nipate faida ya sh.10000 kila siku kwa kipindi Cha mwaka mmoja. ,na Kuna wengine zaidi ya 1200 walinunua nyoka kwa laki sita ijumaa iliyopita wakitumaini kupata million 5 jumatatu hii, lakini kilichotokea mpaka muda huu .., naomba mwenye ushuhuda aongezee[emoji24][emoji24][emoji24]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwahiyo ulikuja kuomba ushauri kwamba uingie au usiingie wakati ushapigwa?
 
je nikiweka kobe kwa siku ntapata shingapi mkuu ?
Kobe wa aina gani? Ni hawa hawa wanaozagaa "kijijini" kwetu?

Anayehiyaji wa kuwanunua anijuze.

Nyoka, Kobe, chura, vipepeo, mijusi, wote hao wanapatikana kwa bei rahisi!

Ya nini ukamnunue nyoka kwa laki sita wakati mimi naweza kukutafutia porini kwa laki tatu tu?

Hata nge na tandu ukiwahitaji nitakutafutia, najua pa kuwapapata.
 
Hivi ni mimi pekee tuu ambaye sijaelewa unanunuaje mnyama online?
Ngoja niulize kwahio ukimnunua unamfugia huko huko online?

Yaani achilia mbali na kutapeliwa huko ni mbali sanaa,
Turudi kwenye fact, mimi nahitaji mtu wa kunielewesha hio kampuni inavyofanya kazi ya kuuza wanyama online?

Lakini pia jambo lenyewe limekaa theoretically, sasa ni techniques gani Zinakuaminisha kua ni kitu cha kweli..

Wazee mimi hata sielewei niulizeje,
Yaani... yaaani.....yaaani hiii imekaaje...? Isije kua tupo hapa tunajadili jokes.
 
Wanabodi, najua wengi mtaniita mjinga au hata mpumbavu, lakini kabla ya kufanya hivyo naomba kwanza msome andiko langu.

Siku 5 zilizopita nilipandisha Uzi hapa jukwaani nikiomba kujulishwa kama ni kweli kampuni hii ya mtandaoni inaitwa sunranch Ina ukweli wowote au ni matapeli kama walivyo matapeli wengine.,nilifanya hivyo baada ya dada yangu wa damu kabisa ninayemheshimu sana kunishawishi nijiunge na kampuni hii kwa kununua mnyama na kuanza kupiga faida, bila Shaka wote mnajua ukaribu wa mtu na dada yake hasa mkiwa mnaheshimiana.

Dada yangu alikuwa miongoni mwa watu wa awali kabisa waliojiunga na kampuni hii ya kununua wanyama mtandaoni na huenda ni kweli alipata faida na kuamua kunishirikisha kama ndugu yake, aliponiambia na kunishawishi nijiunge niliona kama nikikataa nitamvunjia heshima ,hasa ikizingatiwa ya kwamba naamini dada hawezi kunidanganya Ili nipigwe.

Basi kilichofuatia ni kwamba alifanikiwa kunishawishi nikanunua wanyama wawili, mmoja wa laki Moja na elf thelasin, na mwingine wa elf thelasin na tano, hao wanyama kwa mjibu wa hiyo kampuni ilitakiwa nipate faida ya Sh. 10000 kila siku kwa kipindi cha mwaka mmoja, na Kuna wengine zaidi ya 1200 walinunua nyoka kwa laki sita ijumaa iliyopita wakitumaini kupata million 5 jumatatu hii, lakini kilichotokea mpaka muda huu, naomba mwenye ushuhuda aongezee[emoji24][emoji24][emoji24]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Pumbavu sana jipige kifuani mara kumi sema mimi ni mjinga namba moja katika ukoo wetu.
 
Mfano ni kama hivyo hapo chini
Hivi ni mimi pekee tuu ambaye sijaelewa unanunuaje mnyama online?
Ngoja niulize kwahio ukimnunua unamfugia huko huko online?

Yaani achilia mbali na kutapeliwa huko ni mbali sanaa,
Turudi kwenye fact, mimi nahitaji mtu wa kunielewesha hio kampuni inavyofanya kazi ya kuuza wantama online?

Lakini pia jambo lenyewe limekaa theoretically, sasa ni techniques gani Zinakuaminisha kua ni kitu cha kweli..

Wazee mimi hata sielewei niulizeje,
Yaani... yaaani.....yaaani hiii imekaaje...? Isije kua tupo hapa tunajadili jokes.
bei ya bata bukini ni 50,000 TSH, na kufanya 2000 TSH kwa siku. Jumla ya mapato kwa siku 90 ni 180,000 TSH.
Bei ya mbuni ni TSH190,000, na unapata TSH7,600 kila siku. Jumla ya mapato katika siku 180 ni TSH1,368,000.
Bei ya Punda ni 40000 TSH, na kufanya TSH 16000 kwa siku. Jumla ya mapato kwa siku 180 ni 2880000 TSH.
Bei ya Caiman ni 500,000 TSH, kupata TSH 20,000 kwa siku, mapato ya jumla kwa siku 180 ni 3,600,000 TSH.
Bei ya ng’ombe ni TSH 1,500,000, na kufanya TSH 60,000 kwa siku. Jumla ya mapato kwa siku 210 ni 12,600,000 TSH.
Bei ya farasi ni TSH 2,900,000, na kufanya TSH 116,000 kwa siku. Jumla ya mapato kwa siku 300 ni 34,800,000 TSH.
Bei ya kulungu sika ni TSH 6,800,000, na kufanya TSH 280,000 kwa siku. Jumla ya mapato kwa siku 365 ni TSH milioni 102.2.
 
Wanabodi, najua wengi mtaniita mjinga au hata mpumbavu, lakini kabla ya kufanya hivyo naomba kwanza msome andiko langu.

Siku 5 zilizopita nilipandisha Uzi hapa jukwaani nikiomba kujulishwa kama ni kweli kampuni hii ya mtandaoni inaitwa sunranch Ina ukweli wowote au ni matapeli kama walivyo matapeli wengine.,nilifanya hivyo baada ya dada yangu wa damu kabisa ninayemheshimu sana kunishawishi nijiunge na kampuni hii kwa kununua mnyama na kuanza kupiga faida, bila Shaka wote mnajua ukaribu wa mtu na dada yake hasa mkiwa mnaheshimiana.

Dada yangu alikuwa miongoni mwa watu wa awali kabisa waliojiunga na kampuni hii ya kununua wanyama mtandaoni na huenda ni kweli alipata faida na kuamua kunishirikisha kama ndugu yake, aliponiambia na kunishawishi nijiunge niliona kama nikikataa nitamvunjia heshima ,hasa ikizingatiwa ya kwamba naamini dada hawezi kunidanganya Ili nipigwe.

Basi kilichofuatia ni kwamba alifanikiwa kunishawishi nikanunua wanyama wawili, mmoja wa laki Moja na elf thelasin, na mwingine wa elf thelasin na tano, hao wanyama kwa mjibu wa hiyo kampuni ilitakiwa nipate faida ya Sh. 10000 kila siku kwa kipindi cha mwaka mmoja, na Kuna wengine zaidi ya 1200 walinunua nyoka kwa laki sita ijumaa iliyopita wakitumaini kupata million 5 jumatatu hii, lakini kilichotokea mpaka muda huu, naomba mwenye ushuhuda aongezee[emoji24][emoji24][emoji24]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🙌
 
We una mambo ya kishamba sana. Hata kama dada yako alikushawishi. Akili za kuambiwa unashindwa kuchanganya na zako???? Ile siku ulivyoleta humu Uzi ulisema Kuna mtu wako wa karibu ulishuhudia akinunua mnyama na kulipwa na hukusema kama dada yako leo umepigwa ndo unakuja kulia lia humu. Watu walikuonya sana tuuu...Tena sana tuuu hukuelewa. Hivi umelogwa na nani wewe???? Daaah
 
Back
Top Bottom