USHUHUDA: Namna ambavyo Mungu amekuwa akijibu maombi yangu

Write your reply...Congratulations by seen the GLORY OF GOD, HE IS GREATER THAN ANYTHING , ANATENDA NA BADO ANAENDELEA KUTENDA .GOD IS GOOD
 
Mimi mwenyewe sio mcha Mungu sana na hata kuhudhuria nyumba za ibada ni tatizo (sio kwamba nafanya maksudi la hasha ni mazingira tu) lakini ki ukweli Mwenyezi Mungu amekua akinitendea miujiza sana mpaka nashangaa! Miujiza mingi huwa inatokea nikimsaidia Mama yangu mzazi pesa afu nibakiwe sina kabisa au nibakiwe na kidogo yaani lazima nitapata mara 2 au 3 ya kiasi nilichokitoa.. Nina tabia ya kuomba Mungu sana kwa kila jambo nisilojua namna au njia ya kulitatua.

Kuna siku bana nilikuwa napita Dodoma maeneo ya Nyerere square pale nikiwa na stress sana sina hela afu cjui natoa wapi, mfukoni nina 200 tu. Nikapita nikampa kipofu mmoja alkua mazingira hayo ile 200 nikaendelea zangu kwenda nilikokua naenda, kesho ake nikapewa na rafiki angu wa kike wa hapohapo Dom TZS 10,000/= na nlkua nashida na pesa kweli wakuu nilishukuru sana japokua mwingine anaweza akaona ni kama hela ndogo tu lakini wakati huo sikua na uwezo wa kuipata kabisa nlkua vibaya kiuchumi na nlkua na buzness ilikua imeingia changamoto.. Ni mengi sana MUNGU kanitendea live katika maisha kuandika nitajaza pages nyingi mno.
 
Kusema kweli sijaona kitu cha ajabu hapo!,normal life kabisa you hustle you get! Mbona ni mtiririko usionashaka.. kuwapita wanaojua kiingereza huo nao ni muujiza.. angalia pia personality yako huenda ikawa inavutia kwa wengi wala sijaona muujiza, kwenye interview huenda una jiamini shinda wengine n.k

Mungu wako siku akiinua wagonjwa waliolala mahospitalini kwa dk moja ndo nitajua yeye ni Mungu nje na hapo hizi stori ni kitu cha kawaida sana ila wewe tu vile unazichukulia as muujiza😎
You hustle you get???? Hadi kwenye ada ya form six? Hadi kwenye passport? Mkuu
 
Back
Top Bottom