Ushuhuda na pongezi kwa mifumo ya TAUSI na e-ARDHI

Nikweli, hilo ombi linahusisha kiwanja kupandishwa kwenye mfumo ili kiombewe Hati. (Sijawahi kujua nikwanini havipandishwi kabla hadi mnunuzi aombe)

So anzisha ombi lingine la survey plan apload, huko utapewa plan number ambayo itakuwezesha kuendelea na ombi la Hati. mimi nakumbuka nilipoenda halmashauri kuuliza taratibu wakanipandishia, wakanambia hatua nyingine nikafanye mwenyewe.
Nimejaribu ila sehemu ya kuchugua Mkoa Kuna "Dodoma" tu
Nashindwa kuendelea
 
Habari za wakati huu wapendwa katika Bwana,

Nichukue nafasi hii kutoa pongezi kwa hii mifumo miwili ambayo imerahisisha sana ununuzi wa Ardhi na kuwasilisha maombi ya Hati bila usumbufu.

Nilinunua kiwanja TAUSI portal ambapo taratibu zake ni rahisi na rafiki sana, na baada ya kumaliza kulipia malipo ya kiwanja niliomba HATI kupitia mfumo wa e-ardhi ambao pia ni rafiki sana kwa gharama ya Tsh 54,000. Ndani ya mwezi mmoja tayari nimepata HATI.

Nilinunua kwa kujaribu tu nikiwa tayari kupoteza hiyo pesa, ila sasa nikutoe hofu, yeyote uliyekuwa unawasiwasi na hii mifumo, inafanya kazi vizuri sana.
Mkuu kwema
Nauliza hii plan number naipataje?
 
Attachments

  • IMG_20260910_002244.jpg
    IMG_20260910_002244.jpg
    342.2 KB · Views: 11
Habari za wakati huu wapendwa katika Bwana,

Nichukue nafasi hii kutoa pongezi kwa hii mifumo miwili ambayo imerahisisha sana ununuzi wa Ardhi na kuwasilisha maombi ya Hati bila usumbufu.

Nilinunua kiwanja TAUSI portal ambapo taratibu zake ni rahisi na rafiki sana, na baada ya kumaliza kulipia malipo ya kiwanja niliomba HATI kupitia mfumo wa e-ardhi ambao pia ni rafiki sana kwa gharama ya Tsh 54,000. Ndani ya mwezi mmoja tayari nimepata HATI.

Nilinunua kwa kujaribu tu nikiwa tayari kupoteza hiyo pesa, ila sasa nikutoe hofu, yeyote uliyekuwa unawasiwasi na hii mifumo, inafanya kazi vizuri sana.
Mkuu kwema
Nauliza hii plan number naipataje
Anzisha ombi la survey plan upload, mimi nilipomaliza kulipia nilienda halmashauri kuuliza taratibu wakanipandishia nikaendelea na ombi la Hati ila unaweza kuomba hapo kwenye mfumo.
Kwenya mfumo upi naweza kuomba kupata hio plan number?,procedure zipoje?
Naomba unielekeze hatua kwa hatua kama hutojali,
NOTE: nimekwama hapa kwenye kupata plan number
 
Habari za wakati huu wapendwa katika Bwana,

Nichukue nafasi hii kutoa pongezi kwa hii mifumo miwili ambayo imerahisisha sana ununuzi wa Ardhi na kuwasilisha maombi ya Hati bila usumbufu.

Nilinunua kiwanja TAUSI portal ambapo taratibu zake ni rahisi na rafiki sana, na baada ya kumaliza kulipia malipo ya kiwanja niliomba HATI kupitia mfumo wa e-ardhi ambao pia ni rafiki sana kwa gharama ya Tsh 54,000. Ndani ya mwezi mmoja tayari nimepata HATI.

Nilinunua kwa kujaribu tu nikiwa tayari kupoteza hiyo pesa, ila sasa nikutoe hofu, yeyote uliyekuwa unawasiwasi na hii mifumo, inafanya kazi vizuri sana.
Mkuu kwema
Nauliza hii plan number naipataje?
Naomba unielekeze hatua kwa hatua?
 
Nikwema mkuu, umeshapata msaada?
Bado sijapata mkuu,Kila nayemuuliza ananipa majibu ya AI na sio real time solution,naomba msaada mkuu jinsi ya kuipata hii plan number,Ili niweze kujaza kwenye mfumo wa eArdhi,niendelee na ombi la kuomba hati
 
Barua pepe
​

ps@lands.go.tz

Simu​

+255 26 296 3313 | +255 296 3314
 
Bado sijapata mkuu,Kila nayemuuliza ananipa majibu ya AI na sio real time solution,naomba msaada mkuu jinsi ya kuipata hii plan number,Ili niweze kujaza kwenye mfumo wa eArdhi,niendelee na ombi la kuomba hati
Pole sana.

Sehemu uliyofika inahitaji uwe na namba ya ramani ya upimaji pia kiwanja kipandishwe kwenye mfumo ili uendelee na ombi la Hati.

Kwa uzoefu wangu nilikuwa naipata hiyo huduma ofisi ya halmashauri, nilienda na invoice kutoka Tausi na kitambulisho cha Nida. Hiyo ndiyo ilikuwa safari yangu pekee kwenda ofisi ya Halmashauri.

Nikaomba kiwanja kipandishwe kwenye mfumo na nipewe plan number ili niendelee na ombi la Hati, nilisaidiwa ndani ya muda mfupi tu na nibure hupaswi kulipia chochote.

Hakikisha unawaambia wapandishe kiwanja kwenye mfumo.
 
Ahsante sana,hapa nimeelewa vizuri,
Mi binafsi nilivoanza kununua KIWANJA nilikua nadhani Kila kitu kinafanyika online,sababu ya mifumo ya TAUSI na eArdhi,
Naomba niulize swali la mwisho tena
Ukiacha kuipata PLAN NUMBER ambapo itakuhitaji uende halmashauri manually,ni sehemu gani nyingine inainvolve ufuatiliaji wa MANUALLY ,kuanzia kununua kiwanja TAUSI hadi kupata hati kupitia eArdhi?

Fa
Habari za wakati huu wapendwa katika Bwana,

Nichukue nafasi hii kutoa pongezi kwa hii mifumo miwili ambayo imerahisisha sana ununuzi wa Ardhi na kuwasilisha maombi ya Hati bila usumbufu.

Nilinunua kiwanja TAUSI portal ambapo taratibu zake ni rahisi na rafiki sana, na baada ya kumaliza kulipia malipo ya kiwanja niliomba HATI kupitia mfumo wa e-ardhi ambao pia ni rafiki sana kwa gharama ya Tsh 54,000. Ndani ya mwezi mmoja tayari nimepata HATI.

Nilinunua kwa kujaribu tu nikiwa tayari kupoteza hiyo pesa, ila sasa nikutoe hofu, yeyote uliyekuwa unawasiwasi na hii mifumo, inafanya kazi vizuri sana.
Fafanua zaidi,ukinunua kiwanja wapi, sqmeter ngapi,wapi?
 
Ahsante sana,hapa nimeelewa vizuri,
Mi binafsi nilivoanza kununua KIWANJA nilikua nadhani Kila kitu kinafanyika online,sababu ya mifumo ya TAUSI na eArdhi,
Naomba niulize swali la mwisho tena
Ukiacha kuipata PLAN NUMBER ambapo itakuhitaji uende halmashauri manually,ni sehemu gani nyingine inainvolve ufuatiliaji wa MANUALLY ,kuanzia kununua kiwanja TAUSI hadi kupata hati kupitia eArdhi?
Kwa uzeoefu wangu hakuna jambo lingine linakuhitaji ufike ofisi yoyote zaidi ya kwenda kuchukua Hati kwa kamishna wa Ardhi mkoa husika.

Japo nitafatilia kwa kamishna wa mkoa wangu kujua kama hiyo plan number inaweza kuombwa online pia.
 
Vp kuhusu kubadili jina la hati ya kiwanja au umiliki wa kiwanja?
 
Kwa uzeoefu wangu hakuna jambo lingine linakuhitaji ufike ofisi yoyote zaidi ya kwenda kuchukua Hati kwa kamishna wa Ardhi mkoa husika.

Japo nitafatilia kwa kamishna wa mkoa wangu kujua kama hiyo plan number inaweza kuombwa online pia.
Ahsante sana kwa maelezo yaliyonyooka mkuu,acha tuendelee kupambana,mungu akubariki sana🙏
 
Pole sana.

Sehemu uliyofika inahitaji uwe na namba ya ramani ya upimaji pia kiwanja kipandishwe kwenye mfumo ili uendelee na ombi la Hati.

Kwa uzoefu wangu nilikuwa naipata hiyo huduma ofisi ya halmashauri, nilienda na invoice kutoka Tausi na kitambulisho cha Nida. Hiyo ndiyo ilikuwa safari yangu pekee kwenda ofisi ya Halmashauri.

Nikaomba kiwanja kipandishwe kwenye mfumo na nipewe plan number ili niendelee na ombi la Hati, nilisaidiwa ndani ya muda mfupi tu na nibure hupaswi kulipia chochote.

Hakikisha unawaambia wapandishe kiwanja kwenye mfumo.

Ikiwa eneo halijapimwa na wewe uliuziwa tu eka kadhaa, hapo inakuaje?

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Inabidi uombe kupimiwa mkuu.

Kama mkoa husika ni mojawapo ya mikoa ambayo tayari inatumia mfumo wa e-ardhi kutoa huduma za ardhi, unaweza kuomba huduma ya kupimiwa kwenye mfumo. Huko utapewa form za kuwasainisha majirani na utatakiwa kuwa na mikataba ya mauziano pia utapewa control number kwajili ya malipo.

Kama mkoa husika haujaanza kutumia mfumo wa e-ardhi, nenda ofisi ya halmashauri, utapaswa kuwa na mikataba ya mauziano, utapewa form za kuomba kupimiwa eneo lako, utapewa form za kusainisha majirani then utalipia gharama za upimaji

Unaweza kupima eneo lote kama shamba au ukakata viwanja vya makazi, au makazi biashara, au biashara. Inategemea na eneo lilipo.

Gharama za upimaji pia zinategemea na umbali kutoka upimaji uliokaribu hadi kufika lilipo eneo lako.
 
  • Thanks
Reactions: Nus

asante sanaa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Hivi kwenye mfumo wa e-ardhi kuna sehemu ambapo mtu aliyepimiwa kiwanja na kulipia gharama zote za kupata hati manispaa lakini kwa muda mrefu mfano miaka miwili akawa hajapata hati na kuishia kupata majibu yasiyoeleweka kutoka kwa maafisa ardhii anaweza kuwasilisha malalamiko yake?
 
Kwa uzeoefu wangu hakuna jambo lingine linakuhitaji ufike ofisi yoyote zaidi ya kwenda kuchukua Hati kwa kamishna wa Ardhi mkoa husika.

Japo nitafatilia kwa kamishna wa mkoa wangu kujua kama hiyo plan number inaweza kuombwa online pia.
Habari mkuu!
Hivi kununua viwanja kupata tausi hakuna utapeli?

Kuna namna unaweza ku survey viwanja kabla hujanunua?

Na baada ya kununua utaratibu wa makabidhiano unakuwaje ? Unapewa hati hapo hapo?
 
Back
Top Bottom