Ushuhuda na pongezi kwa mifumo ya TAUSI na e-ARDHI

Kwenye account yako ya e-ardhi bonyeza sehemu iliyoandikwa Anzisha ombi

Kisha chagua Maombi ya Hatimiliki, kisha chagua Endelea

Baada ya hapo utajaza taarifa kama Mkoa ulikonunua kiwanja, wilaya, Halmashauri, kisha bonyeza WASILISHA

Baada ya hapo utajaza taarifa za wahusika (taarifa zako muombaji) kwa kubonyeza Weka wahusika.

Baada hapo utaombwa kujaza taarifa za kiwanja

Utaombwa nyaraka, hapa utaweka nakala ya kitambulisho kwenye kipengele cha Proof of Citizenship, Utaweka invoice ya kiwanja kutoka Tausi kwenye kipengele cha Sales Agreement, utaweka invoice ya kiwanja kwenye kipengele cha neighbors Consent, utaweka risiti za malipo kutoka Tausi kwenye kipengele cha Proof of payment.

Kama taarifa ulizojaza zitakuwa sahihi utapewa control number ya kulipia gharama za ombi Tsh 5000, kisha utapewa control number ya gharama za kuandaa Hati.

Ukishalipia utakuwa unatrack kwenye mfumo ombi lako limefika hatua gani, na ni ofisi gani inashughulikia hiyo hatua, ni Halmashauri au ofisi ya ardhi ya mkoa.

Ombi likikamilika, litakuwa na status ya Completed na utapata sms ya kwenda kuchukua Hati yako kwa kamishna wa ardhi mkoa husika.
What if hukununua via TAUSI
 
What if hukununua via TAUSI
Kama umenunua kwa mtu na kiwanja tayari kina Hati, unaomba kwenye mfumo kubadili umiliki.

Utaombwa nyaraka ikiwemo mkataba wa mauziano, form iliyotiwa Saini na majirani ambayo utaidownload kwenye mfumo, na form iliyosainiwa na kiongozi wa serikali ya mtaa/ Kijiji/ Kata na nyaraka nyingine zitakazohitajika.

Kama umenunua kwa mtu na kiwanja hakijapimwa utaombwa kupimiwa na utapaswa kuwa na hivyo vielelezo na vingine vinavyohitajika.

Unaweza kuingia kwenye huo mfumo ukaangalia yaliyomo mkuu
 
Asante
 
Kwahiyo Ile hati ya awali kutoka kwa mtu aliyoniuzia kiwanja inahitajika kwenye mfumo/maombi ya hadi mpya kama kiilelezo..?
kama kiwanja nimenunua kwa mtu kama tulivyooelewena bei kisha nikaenda bank kumlipa pesa yake, hizo nyaraka kama form ya Serikali ya mtaa/Kijiji, form ya Mkataba nitazitoa wapi..?
 
Mkataba wa mauziano ni lazima na unapaswa kuandaliwa na mwanasheria.

Form ya majirani utaipata kwenye mfumo, utaidownload, print, kusainisha majirani kisha utaupload kwenye mfumo ( the same na form ya serikali ya mtaa)

Unaweza kufungua account ukajaribu tu kuomba kubadilisha umiliki, utapewa mahitaji yote pale.
 
Asante mkuu, account ninayo tayari.
 
Habari za wakati huu wapendwa katika Bwana,

Nichukue nafasi hii kutoa pongezi kwa hii mifumo miwili ambayo imerahisisha sana ununuzi wa Ardhi na kuwasilisha maombi ya Hati bila usumbufu.

Nilinunua kiwanja TAUSI portal ambapo taratibu zake ni rahisi na rafiki sana, na baada ya kumaliza kulipia malipo ya kiwanja niliomba HATI kupitia mfumo wa e-ardhi ambao pia ni rafiki sana kwa gharama ya Tsh 54,000. Ndani ya mwezi mmoja tayari nimepata HATI.

Nilinunua kwa kujaribu tu nikiwa tayari kupoteza hiyo pesa, ila sasa nikutoe hofu, yeyote uliyekuwa unawasiwasi na hii mifumo, inafanya kazi vizuri sana.
Wamejitahidi
 
Kwenye account yako ya e-ardhi bonyeza sehemu iliyoandikwa Anzisha ombi

Kisha chagua Maombi ya Hatimiliki, kisha chagua Endelea

Baada ya hapo utajaza taarifa kama Mkoa ulikonunua kiwanja, wilaya, Halmashauri, kisha bonyeza WASILISHA

Baada ya hapo utajaza taarifa za wahusika (taarifa zako muombaji) kwa kubonyeza Weka wahusika.

Baada hapo utaombwa kujaza taarifa za kiwanja

Utaombwa nyaraka, hapa utaweka nakala ya kitambulisho kwenye kipengele cha Proof of Citizenship, Utaweka invoice ya kiwanja kutoka Tausi kwenye kipengele cha Sales Agreement, utaweka invoice ya kiwanja kwenye kipengele cha neighbors Consent, utaweka risiti za malipo kutoka Tausi kwenye kipengele cha Proof of payment.

Kama taarifa ulizojaza zitakuwa sahihi utapewa control number ya kulipia gharama za ombi Tsh 5000, kisha utapewa control number ya gharama za kuandaa Hati.

Ukishalipia utakuwa unatrack kwenye mfumo ombi lako limefika hatua gani, na ni ofisi gani inashughulikia hiyo hatua, ni Halmashauri au ofisi ya ardhi ya mkoa.

Ombi likikamilika, litakuwa na status ya Completed na utapata sms ya kwenda kuchukua Hati yako kwa kamishna wa ardhi mkoa husika.
Nimejaribu mfumo ukanipa ujumbe huu " Request for survey plan upload"
Na kiwanja nilinunua kupitia mfumo wa Tausi
 
Plan no
Kama umenunua kwa mtu na kiwanja tayari kina Hati, unaomba kwenye mfumo kubadili umiliki.

Utaombwa nyaraka ikiwemo mkataba wa mauziano, form iliyotiwa Saini na majirani ambayo utaidownload kwenye mfumo, na form iliyosainiwa na kiongozi wa serikali ya mtaa/ Kijiji/ Kata na nyaraka nyingine zitakazohitajika.

Kama umenunua kwa mtu na kiwanja hakijapimwa utaombwa kupimiwa na utapaswa kuwa na hivyo vielelezo na vingine vinavyohitajika.

Unaweza kuingia kwenye huo mfumo ukaangalia yaliyomo mkuu
Plan no naipataje?
 
Mkuu hebu nisaidie kuweka hiyo fomu special ya kusaini majirani inayopatikana kwenye mfumo..
Me sijafanikiwa kupata kabisa..

Pia, nikianziasha ombi kwenye mfumo naona mikoa kadhaa tu.
Mbeya
Dodoma
Mwanza
Sijui na upi ule
 
Mkataba wa mauziano ni lazima na unapaswa kuandaliwa na mwanasheria.

Form ya majirani utaipata kwenye mfumo, utaidownload, print, kusainisha majirani kisha utaupload kwenye mfumo ( the same na form ya serikali ya mtaa)

Unaweza kufungua account ukajaribu tu kuomba kubadilisha umiliki, utapewa mahitaji yote pale.
Naomba uweke hapa hiyo form me sijaipata kabisa
 
Nimejaribu mfumo ukanipa ujumbe huu " Request for survey plan upload"
Na kiwanja nilinunua kupitia mfumo wa Tausi
Nikweli, hilo ombi linahusisha kiwanja kupandishwa kwenye mfumo ili kiombewe Hati. (Sijawahi kujua nikwanini havipandishwi kabla hadi mnunuzi aombe)

So anzisha ombi lingine la survey plan apload, huko utapewa plan number ambayo itakuwezesha kuendelea na ombi la Hati. mimi nakumbuka nilipoenda halmashauri kuuliza taratibu wakanipandishia, wakanambia hatua nyingine nikafanye mwenyewe.
 
Mkuu hebu nisaidie kuweka hiyo fomu special ya kusaini majirani inayopatikana kwenye mfumo..
Me sijafanikiwa kupata kabisa..

Pia, nikianziasha ombi kwenye mfumo naona mikoa kadhaa tu.
Mbeya
Dodoma
Mwanza
Sijui na upi ule
Nadhani baadhi ya mikoa haipo, pia form zinakuwa generated na mfumo kulingana na ombi.

Kuna hatua unapaswa kufikia ili kupata form husika, pia kama mkoa wako haupo kwenye system hata kama nitakutafutia form hautaweza kuendelea na ombi lako.
 
Mfumo uko vizuri ila ishu iko kwa developers ishu ya Mobile-first Approach waliisusia kabisa.

Platform imetengenezwa kwa ajili ya vifaa vyenye screen kubwa zaidi, ukitumia simu details nyingi hazionekani. Ni jambo dogo sana, naamini watalifanyia kazi.

Kwenye future updates wafanyie kazi swala la map.

Wanastahili pongezi, jambo zuri sana.
 
Back
Top Bottom