Ushuhuda - Kuku wa kienyeji ..

Ushuhuda - Kuku wa kienyeji ..

asante sana ndg.. jamii inahitaji watu makini kama ninyi
Ok mkuu tutaendelea kupeana uzoefu wa ufugaji. binafsi kuna mengi nimejifunza kutoka hapa JF, hivyo naona ni vyema pia kuwashirikisha kwa yale ambayo nayafanyia kazi na kuona matokeo chanya.
Mwezi Septemba 16 Mungu ataniwezesha nianze thread ya darasa hatua kwa hatua. Tayari maandalizi yapo sawasawa. Hivyo kaeni tayari kwa ajili ya kushiriki darasa hilo ambalo nategemea litaendelea hadi mwezi Juni 2017 likiwa na idadi ya kuku wasiopungua 1000. Naamini nitakuwa na wenzangu wengi watakaofuatilia darasa hilo.
 
Ok Mungu akipenda mkuu
 
Je kuku walioathirika tayari na mafua hawawezi kunyweshwa vitunguu maji na wakapona?.
 
Safi sana mkuu - ahsante kwa msaada. Majani haya pia yameongelewa sana kwenye kitabu kinaitwa - TUREJEE EDEN
Yes! Mwandishi wake ni Mheshimiwa Maxmillian Lyimo!!aliyekuwa mgombea urais kupitia Tlp!! Nakipenda sana kitabu hicho
 
Back
Top Bottom