Ushuhuda - Kuku wa kienyeji ..

Ushuhuda - Kuku wa kienyeji ..

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,614
Wapiganaji habari za leo ...
Nimekuwa kwenye kujaribu kila ushauri niupatao hapa Jf kwenye ujasiriamali na namshukuru Mungu kwamba kuna vitu nimevifanyia kazi vikaleta matokeo chanya. Sina budi niwajuze ili nanyi mkafaidi.
1. Kuku wa kienyeji akipatiwa tiba asilia tu kuanzia hatua za awali anakuwa mstahimilivu wa maradhi.
Ifuatayo ni list ya majani nilowapatia vifaranga kwa kipindi cha miezi minne na sasa wana afya njema.
i) Vinasa nguo,
ii) Mchicha
iii) Majani ya Magimbi
iv) Alovera
v) Majani ya mpera
vii) Majani ya rosella - Haya sikuwahi kuyaona yameandikwa popote, niliyatumia kwa sababu yameandikwa sana kwenye tiba za binadamu.

Zaidi ya yote nimeyaona maajabu ya kitunguu maji. Hii ni tiba na kinga ya mafua kwa kuku wa umri wowote. Nakumbuka siku moja mwanangu alinipigia simu na kunieleza kwamba kwenye vifaranga wanapiga chafya sana. Nilipoenda sokoni nilikosa pilipili kichaa, nikataka kwenda kununua fulban (dawa ya mafua kwa kuku) - hela ikapungua. Nikakumbuka kwamba kuna bandiko moja kwenye JF linaongelea maajabu ya kitunguu maji .. basi nikanunua Kg 1 ya vitunguu, nilipofika nyumbani nikachukua vitunguu 3 nikavikatakata na kuninginiza kwenye banda la vifaranga ...
Asubuhi hakuwepo kifaranga hata mmoja alokuwa akipiga chafya. Hivyo nikajua kwamba kuna ukweli kwamba kitunguu maji kinakusanya bakteria walioko hewani.
Naendelea na majaribio mengine .. nitawajuza iwapo kutatokea jambo jingine la kuwashirikisha.
 
Ni vema Kama ungedadavua kiundani zaidi zaidi jinsi ya kutumia hizo dawa.
 
I like it
 
asante sana naomba unijuze vizur namna ya kuning'iniza kitunguu bandani kwa ajili kunana bacteria
Chukua kitunguu, katakata sles, chukua chujio, weka sless za vitunguu maji kisha funika na karatasi juu - tumia gundi kuzuia karatasi isidondoke, funga kamba kisha ninginiza ndani ya banda la kuku.
 
Kuna TE="Denis denny, post: 17273253, member: 104402"]Mkuu nisaidie hilo la Vinasa nguo ndo nini?[/QUOTE]
Kuna majani ukienda porini au mashambani yana vimbegu vyeusi ambavyo vinanasa nguo..
 
Kuna TE="Denis denny, post: 17273253, member: 104402"]Mkuu nisaidie hilo la Vinasa nguo ndo nini?
Kuna majani ukienda porini au mashambani yana vimbegu vyeusi ambavyo vinanasa nguo..[/QUOTE]
Hivyo hivyo mkuu, ni dawa nzuri sana kwa kuongeza kinga ya mwili kwa viumbe hasa kuku, nayachukua majani yake na kuninginiza kwenye banda la kuku, wanadonoa wenyewe.
 
Chukua kitunguu, katakata sles, chukua chujio, weka sless za vitunguu maji kisha funika na karatasi juu - tumia gundi kuzuia karatasi isidondoke, funga kamba kisha ninginiza ndani ya banda la kuku.
tutor naomba namba yako ya cm pm au hapa hapa kama hauto jar
 
Ushauri Mzuri Lakin Maelezo Hayaatoshi
Ungeeleza Unatumiajae Hivyo Vitu?
 
Ushauri Mzuri Lakin Maelezo Hayaatoshi
Ungeeleza Unatumiajae Hivyo Vitu?
Kina ninapoanza matumizi ya dawa yoyote nahakikisha naitumia kwa siku 5 mfululizo. Mfano, wiki ya Aloevera lazima nikianza jumatatu, naishia Ijumaa. Kuhusu namna ya kuandaa maelezo yake yako sehemu nyingi kwenye threads mbali mbali.
Kitu kimoja ambacho hakijawahi ongelewa kwenye ufugaji wa kuku ni kitunguu maji na ndo maana nimeeleza namna ya kufanya.
Kuhusu Rosella, majani yake ukiyakamua yanatoa kama juice yenye mapovu vile, juice hiyo nawapa mara kwa mara kwa sababu tofauti na kuwa dawa ina viini lishe pia kwa viumbe / mifugo na binadamu pia. Najua wafugaji wengi hasa wa mijini hawajui baadhi ya madawa haya ya asili ila kiukweli dawa za asili ni nzuri sana.
 
una weza nisaidia picha au maelekezo ya kuijua Rosella my tutor
 
Kwanza Rosella unaijua au?
is

Ila kuna species nyingine majani yake nayo yana rangi kama hayo maua.
 
Saidia kidogo, hebu sema jambo kwa majani ya kila mmea hapo, unautumiaje, unaaloweka kwenye maji au unawapa majani yenyewe kama chakula

Back
Top Bottom