Mnyalu wa Kweli
JF-Expert Member
- Oct 7, 2010
- 233
- 55
Well said!Nakujibu mara ya mwisho.
1. Wewe ni mtu unayejulikana huku kwa sentiments zako, ndio huko unapotaka kuelekea kwamba OILCOM inashambuliwa kwa kuwa ni waislamu. ila angalia majina yanayotajwa humu George na Anderson
2. Gwajima na rwakatare hata kama wanaibia serikali ni kwa sababu ya upenyo ulioachwa wazi kwa taasisi za dini. Wanaitumia hiyo loophole ipasavuo
3. Ficha ujinga wako kuleta ishu za hawa wanaojiita watumishi wa Mungu na hawa wafanyabiashara wa mafuta. Wanafanya vitu viwili tofauti. Hata tukiamua kuwapa jina la matapeli wa kiroho hawafanani na hawa wafanyabiashara
4. Tafuta kazi dogo, uanze kujichanganya na watu ujifunze vitu sio unaamka asubuh kwa baba, unaenda msikitini unarudi kula kwa baba, unaenda kubet unarudi kula kwa baba kisha unapost utumbo hapa bila hata kufikiria hii inahusu NCHI YAKO