Kuna mtu aliekwenda kanisani Jumapili akatoa ushuda kuwa alikuwa na ebola na Mungu akamponya. Alipomaliza akataka ampe 'mic' mtu anayefuata, jamaa akakataa.
Jamaa: Sina ushuhuda mpe pastor.
Pastor: Mimi sihusiki na shuhuda, mpe senior pastor.
Senior pastor: Ndugu katika kristo. Mic ni ya kwako. Ni zawadi kutoka kwa kanisa. Nenda nayo nyumbani.