Ushuhuda: Biashara ya mchele ni ngumu mno!

😂Si mchezo...hii biashara sijawahi kuifanya exactly ila nimetoka kuifuatilia juzi juzi tu, huko huko Mbeya.ndani ndani huko kunaitwa Kamsamba, ni biashara yenye mbinde kdg na ukifanya masihara unachezea za uso...namshukuru mkuu Insigne kwa kunipa connection na kwenda kunitoa tongo tongo pande hizo...nimejifunza vitu vingi nikiwa na ndugu yangu...tunajipanga tena mambo yakiwa mazuri tunategemea kurudi msimu wa mavuno ya mpunga ukianza...bro huo mtaji wako kwa hii biashara hutoboi, mimi nilipiga hesabu nikiwa na mtaji wa milioni 10 nikajikuta napata faida ya laki mbili (200,000/) hapo hujatoa gharama za usafiri na chakula, na malazi...Noma Sanaa ila inawezekana
Yaah upo sahihi mkuu, kabla ya kuingia lazima ufanye kujihakikishia unachoenda kukifanya ktk hyo biashara

Nilipenda sana kwa ww mwenyewe kufika eneo husika na kujua kinachoendelea ktk biashara hiyo

Hope msimu mwingine wa kuvuna utaziwahi bei zake kabla hazijakomaa
 
Bishara ya mchele kwasasa imekuwa ngumu sana kwasababu kwenye store watu wana stock ya kutosha na wanunuzi hakuna

Mara nyingi masoko ya mchele na mpunga yanategemea wanunuzi kutoka nje ila Flow ya watu kutoka nje ikikosekana ndio bei zake zinasimama
 
Wenzako wa maduka wanapata faida sh 5 hadi 20 na maisha yanaena poa tu, usikate tamaa pambana pesa ipo.
Usifanye Dar kafanyie mikoani
 
Mimi nipo mwananyamala kwenye biashara za nafaka ila sio mchele ni mahindi mtama kunde na vitu kama hivyo.... kuhusu mchele wewe umejichanganya kwenda mbeya kununua mchele uje umuuzie mtu ili na yeye auze dukani kwake... kwasabab mimi nipo hapa sokoni najua jinsi biashara hiyo inavyoenda...

Fanya hivii tafuta ubao sokoni mwananyamala halafu uuze mchele wako wewe mwenyewe ukimaliza unaenda tena mbeya pale unamuacha kijana... sio kama unavyofanya wewe ila mtaji wako mdogo huwezi biashara hii ya mchele ungetakiwa uwe angalau milioni 20 ... fanya hivi nenda dodoma kanunue mtama kwa laki 7 yako utapata gunia 10 za mtama niletee mimi nitanunua
Watu kama ww wangekua kama buku tu hapa dsm, kwa hakika huu mkoa ungekua sehem salama kuishi
 
Nmekuwa nikifanya biashara ndogo ndogo ni mda sasa nikaja kuiamini ile kanuni ya kisayans kwamb ni wenye nguvu pekee ndio wataweza kumudu
 
huku tulipo tuna mchele tuna stock tokea ya mwaka 2019,2020 na 2021 (japo hii imesua sua)

hii 2019 ilikuwa komesha
Acha uongo mwaka 2019 mchele uliuzwa bei kubwa mwaka huo mwez wa 12 gunia ndogo (magufuli) Usangu(mbeya) tuliuza mpaka Laki 1 wewe uliweka za nn. Mwaka jana na huu ndio bei imetetereka.
 
Si mchezo...hii biashara sijawahi kuifanya exactly ila nimetoka kuifuatilia juzi juzi tu, huko huko Mbeya.ndani ndani huko kunaitwa Kamsamba, ni biashara yenye mbinde kdg na ukifanya masihara unachezea za uso...namshukuru mkuu Insigne kwa kunipa connection na kwenda kunitoa tongo tongo pande hizo...nimejifunza vitu vingi nikiwa na ndugu yangu...tunajipanga tena mambo yakiwa mazuri tunategemea kurudi msimu wa mavuno ya mpunga ukianza...bro huo mtaji wako kwa hii biashara hutoboi, mimi nilipiga hesabu nikiwa na mtaji wa milioni 10 nikajikuta napata faida ya laki mbili (200,000/) hapo hujatoa gharama za usafiri na chakula, na malazi...Noma Sanaa ila inawezekana
Kamsamba mchele wake mwing unaenda Zambia soko lake kuu ni Tunduma alaf ata bei yake ipo vizur sana na n mtamu haswaaa ila mchele mwng unaokuja Dar ni wa Mbarali bei inakuaga chini sana kipind cha mavuno na mpunga ni mwing sanaa.
 
Acha uongo mwaka 2019 mchele uliuzwa bei kubwa mwaka huo mwez wa 12 gunia ndogo (magufuli) Usangu(mbeya) tuliuza mpaka Laki 1 wewe uliweka za nn. Mwaka jana na huu ndio bei imetetereka.

bei ya mchele huku kilo 1200 mpka 1180 kama unabisha karibu tulipo
 
Masoko mengi ya bongo hakuna cartels, wanajifanyia biashara hovyo tu
 
Yaah upo sahihi mkuu, kabla ya kuingia lazima ufanye kujihakikishia unachoenda kukifanya ktk hyo biashara

Nilipenda sana kwa ww mwenyewe kufika eneo husika na kujua kinachoendelea ktk biashara hiyo

Hope msimu mwingine wa kuvuna utaziwahi bei zake kabla hazijakomaa
Kabisa mkuu, wanasema seeing is believing...nimejionea nimeamini...mpango ni kudondoka pande zile msimu ujao mapema panapo majaaliwa na kama mipango itaenda kama ilivyosetiwa.
 
Acha uongo mwaka 2019 mchele uliuzwa bei kubwa mwaka huo mwez wa 12 gunia ndogo (magufuli) Usangu(mbeya) tuliuza mpaka Laki 1 wewe uliweka za nn. Mwaka jana na huu ndio bei imetetereka.

Labda kuna mahali ulipanda ila since 2019 watu wanahangaika na mchele kwenye maghala
 
Back
Top Bottom