Ushuhuda Airtel Yatosha-Wizi mtupu

Ushuhuda Airtel Yatosha-Wizi mtupu

Prince Hope

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2012
Posts
2,154
Reaction score
447
Binafsi ni mhanga wa tukio hili.

Naamini wapo wahusika wa airtel kwenye jamvi, wachukue hatua.

Jana, Jumapili, tar 21 July at 12:58pm nilinunua kifurushi cha 24hrs plus 1hr kwa gharama ya tshs 499. Nilipatiwa dk 15, sms 150 na 50MB.

Nikatumia dk 5, sms 1 na Mb sikutumia kabisa.

Cha kushangaza, muda huu najaribu kutazama salio hakuna MB hata moja. Napiga huduma kwa wateja, naambiwa habari za mchana then simu inakatwa. Twice.

Hatimaye nikaongea na dada mmoja, akathibitisha kweli hakuna MB hata moja, ananiambia nisubiri tu itawekwa!

ACHENI wizi mchana kweupe!

 
Hata walinfanyia ivyo ivyo lakini nikic0nect na internet nakula mzigo kama kawaida!
 
mimi ni jana baada ya kuweka bundle ya siku nikiwa na lengo la kutumia internet, nilipata dakika na SMS kwenye MB kulikuwa na zero/sifuri yaani haikuingia hata mb 1.
Ni kama vile umeleta hii hoja hapa na wengi tulitegemea kujulishwa kuwa labda kulikuwa na tatizo la kiufundi lakini mpaka sasa hakuna taarifa yoyote. Kiujumla huu ni unyang'anyi wa mchana na kibaya zaidi Mh. Mnyika katoa namba ya simu ya waziri husika lakini kamuijia juu! Sijui tutaponaje hapa.
 
Check km ulikuwa na balance ya zaidi ya sh 500 kwenye simu yako utakuta wameikomba.
 
Check km ulikuwa na balance ya zaidi ya sh 500 kwenye simu yako utakuta wameikomba.

Mimi ni mtumiaji wa airtel zaidi kuliko mitandao mingine tangia niibiwe hela na Voda. Voda hizo ndo zao. Kitu pekee Voda wanafanya vizuri ni Wajanja Night tu. Mambo mengine yote wizi kabisa. Unaweza kuwekewa MB ombea kusiwe na kitu kwenye balance. Utakuta wamekula na hizo bila kukutaalifu kwamba sasa wanahamia kwenye balance. Kama niliancha za meseji je? Hawa watu hawana maana kabisa!
 
Sirikali na haya makampuni mnatumaliza jamani: Wizi mwingine ni huu...ukidabo kifurushi cha "yatosha" utapata dk na sms ila mb zako wanakula wao.....
 
Sasa mmeanza kuelewa kwa nini tumeitisha mgomo wa kuzima simu nchi nzima, kuanzia saa 6 usiku, 19-8 hadi saa 6 usiku, 20-8-13, kwa mitandao yote.

Kabla hujaamua kuzima simu yako, jiulize: Nimechoka kuibiwa?

Kutokana na jibu lako ndipo utaamua kuwachapa bakora wezi hawa kwa kuwanyima mapato. Watie hasara. Washikishe adabu.
 
Kwa hakika si airtel tu Vodacom ndo zaidi, kwanza huwezi kujirusha kama huna extra salio la shs 1000, pili hizo sms wanazodai za bure ndizo wanakata kwenye salio lako kero kubwa ni pale unapodanganywa umezawadiwa elfu1 kumbe sio. Pasipo chombo cha kuwa monitor mwenendo wa kampuni hizi tutaibiwa saana. Mgomo na uje ni muhimu sana.
 
Hamia min kabang unapata dk.15 tigo kwa tigo, dk.10 twanga kote kote, 60mb na sms 300 kwa tsh. 600/=
 
Check km ulikuwa na balance ya zaidi ya sh 500 kwenye simu yako utakuta wameikomba.

Ni kweli kabisaaaaa,usibakuze salio ,wanazikomba zote.wanakera..nilifikiri mimi peke yangu kumbe tupo wengi...hata hilo tatzo la kuzimega MB zetu ilihali umejiunga 24 hrs limentokea juzi,nkikakasirika..WIZI MTUPUUUUUUUUU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom