Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,582
Naomba nianze na tigo
lo leo nilikuwa natuma msg nikiwa naelekea safari nikaishiwa na vocha nikaambiwa cheki nyota..... Upate sec 240 utalipa 350 ukiongeza salio
nikatumiwa umepata sec 240 tumia ndani ya siku kadhaa
nikaongeza gafla uwezi amini nikampigia mtu nilieitaji na nzuri niliona unapiga mtandao wowote..nikiwa naongea ikakata...gafla nikaandikiwa umebakiza sec 61..hizi msg zote ninazo
nikajaribu kupiga inasema sina salio.....sijui mnaelewa hiliii nina sec 240 gafla naambiwa nimebakiza 61 sec nikipga sina salio huu sio wizi hizi msg zote ninanazo mns kwenye msg umeonyeshwa 240 sec kumbe ni 240-61..(h)hizo ndizo unazopewa...najiuliza sasa hizi sec zimeenda wapi why naambiwa sina salio ???najiuliza mtu mmoja akifinywa sec 61 tunaumiaje watanzania ....
Airtell
hawa wamenimaliza kabisa...nimejiunga kifurushi majuzi nikapewa dk kadhaa na sms 300....jana nkatumia msg za kawaida..leo nikiwa safari nkatuma kama msg 8 ama kumi hivi,,,,,nafika moshi natuma msg ati sina salio ,,,sawa ..ati nina sms 0...nina bundle 40mb...???kweli msg 300 natumia siku tatu mns msg mia nimetumia sikumoja...embu tume za mawasiliano muwafwatilie hawa...tafadhalii...
Inakera sana ngoja mwakampya njaribu na halotel...