MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,564
- 8,876
Sare misibani huendana na saa zingine watu kupimwa vipimo na nguo kwenda kushonwa na hata wengine kuulizaa anataka mshono gani na kadhalka.
Huwa najiuliza hivi umeondokewa na mpendwa wako ulie kuwa unampenda mno either mtoto/Mke/Mme/Baba/Mama/Babu/Bibi na kadhalika hivi kweli kwa majonzi yale kuna muda kweli wa kupimana vipimo vya kushona nguo?
kwa huzuni ile nani anakuwa na hamu ya kupimwa kwamba akashonewe sare?
Unless kama kila mtu ana definition yake ya majonzi.