Jambo linalostua zaidi kwa mtazamo wangu ni kwamba,
Katika nchi zetu za kiafrika, mashoga walikuwepo tangu kale na jamii haikuwatenga na wala hawakuwa hatarini kimaisha. Nadhani wale waliokulia Dar miaka ya 80 hamtamsahau Aunty Mudy ambaye alikuwa maarufu sana Dar enzi hizo...
Kinachostua sasa ni kwamba, nchi za Magharibi zimeanza kushinikiza mataifa yetu kutambua haki za wapenzi wa jinsia moja kwa miongo kadhaa sasa. Najiuliza haya maslahi ya kuunga mkono tabia zinazopingana na maadili, utamaduni na mapokeo yetu ni ya nani? Kwa nini tulazimishwe kuishi kama watakavyo wao? Ni jambo gani Magharibi imewahi kukubali kutoka Afrika? Kwa nini Afrika ilazimishwe kukubali kila la kwao?
Maswali haya na mengine tunaweza kujibu na kupata mwelekeo mzuri kwa vizazi vyetu
Zogwale Ingawa haya yameanzia zamani kidogo na huyu Obama anaendeleza tu alipoachiwa na watangulizi wake, Lakini bado kama Taifa tunapaswa kujadili kwa kina athari zake na manufaa ya ushoga kijamii.
Kwa hiyo hata kujadili ukeketaji ni kuwajali mangariba?Kujadili upuuzi wa mashoga ni kuyataka yaonekane na yenyewe yanajaliwa.
Twende kimtindo sasa.......Mungu aliumba mwanaume na penis na mwanamke na vagina kwa ajili ya kazi hii. Hakusema mwanaume atumie tundu la haja kubwa kutimiza matakwa ya ngono. Likewise kwa wanawake kuoana na kutuma vibrators au vidole na mengineyo. Napinga ushoga na usagaji kwa nguvu zote.
Twende kimtindo sasa.
Ni nini hasa hupelekea mtu mume kuingia kwenye shughuli za ushoga? Maana moja ya hoja kuu ya Museveni ni kwamba Ushoga si tatizo la kijenetiki bali ni tabia....
Twende sasa
Kujadili upuuzi wa mashoga ni kuyataka yaonekane na yenyewe yanajaliwa.
Inasikitsha sana. Tena Rais wangu nimpendaye Obama amenisikitisha mara mbili!!! Mke wake anajisikiaje?? Wale mabinti zake Shasha na Malia wakiwa wasagaji itakuwaje? Nina imani Michel Obama ana yake ya moyoni kuhusu huyu bwana!!! Tusubiri Urais wake umalizike!!!
ha ha kila mtu ana uhuru wa kufanya yake..cha msingi serikali isi support gaysm kama ilivyo tangazwa 2011 na Mr.Misifa Membe lakini iache uhuru binafsi wa watu kufanya yao! Uliberali muhimu..kwani ukiona mtu anafanya yake we kinakuuma nini ama una washwa nini? si yeye na mungu wake ndio wanajijua? sasa??Kwa hiyo hata kujadili ukeketaji ni kuwajali mangariba?
Tuangalie hili kwa mapana. Haliepukiki kwani linazungumzwa sehemu nyingi sana.
Ukiingia FB na mitandao mingine ya kijamii utakuta watanzania walioamua kujianika wazi kabisa kuwa wanashiriki ushoga na usagaji....
Twende kimtindo sasa.
Ni nini hasa hupelekea mtu mume kuingia kwenye shughuli za ushoga? Maana moja ya hoja kuu ya Museveni ni kwamba Ushoga si tatizo la kijenetiki bali ni tabia....
Twende sasa
Wengi wameingizwa kwa style hiyo na hata kama ishu ikigundulika inamalizwa kiukoo na baadaye mtoto anakuwa ameshaharibiwa kisaikolojia na kimwili.mashoga wengi sana ukisikiliza historia zao unakuta walikua wamebakwa(wamelawitiwa) wakiwa wadogo,sema hawakusema kwasabab ya woga na matokeo yake wanazoea huo mchezo..hawa wajomba-wajomba,houseboy,baba wadogo sio wa kuwaamin kabisa
Laiti kama ungejua nyuki anatumia malighafi gani kutengeneza asali, usingeilambaKujadili upuuzi wa mashoga ni kuyataka yaonekane na yenyewe yanajaliwa.
Wengi wameingizwa kwa style hiyo na hata kama ishu ikigundulika inamalizwa kiukoo na baadaye mtoto anakuwa ameshaharibiwa kisaikolojia na kimwili.
Ndugu hao hao utasikia wakisimama hadharani kupinga ushoga wakati ktk familia yao wamewahi kufumbia macho tatizo kama hili.
Je kuna vituo vya kuwasaidia kisaikolojia watu walioathirika na unyama kama huu ili warejee ktk hali ya utu wao?
Hii ni hatari kwa kizazi chetu cha sasa kupotea na hatimaye Depopulation kuchukua nafasi yake.mung aliweka mbele kiken kuwa na nguv ya kujisafisha kwenyw lakin kinyeo hakiwez kujisafisha coz sio mahala pake...mbegu za kiume zina vitu vinne:acid,protns,ages na nyengne nimesahau kidogo hiv vitu vina mchango na athar zake vinapotumika vibya ikiwemo acid ndio maana hata mwanamke anapoingiliwa kinyume na maumbile anakuwa kuna muda anawashwa sana mpaka anaamua kujiingiza vidole kijichokoa ili mradi ajaikune muwasho uishee hii inasababishwa na kutoweza kwa kinyeo kutoa zile mbegu baada ya tendo kama uke unavyofanya. Mim naona hawa wanamambo matatu ya haraka harak wanayoyatak
1-kupunguza uzazi na depopulation.
2-wanataka kutengeneza africa kuwa soko la vifaa na madawa yatakayotumika na yatakayotokana na uchafu huu.
3-ni matokeo ya freemansonry na new world order.
Hofu yangu kwa utegemezi huu wa misaada tutakwepa mwisho wa siku nasi tumo. Wao wanajua fika kabisa kuwa afrika hili jambo litapata mashiko makubwa baadae na kuzidi hata ufaransa kwa sas