Ushoga na Usagaji Dar

Ushoga na Usagaji Dar

Sijakuelewa, unamaanisha kwamba Dar ndio kwenye magari mengi kuliko sehemu yoyote Tanzania kimkoa au unamaanisha Dar ndio ina magari mengi kuliko jumla ya magari yote mikoani?
Umeshawahi kujiuliza kwa nini wengi wa Wamiliki wa Magari ni wakazi wa Dsm japo si Wazaramo wala Wandengereko?
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. ..MCHAGA NI PESA TU HUO MCHEZO HAWANA KABISA. .NITAKATAA MPAKA MWISHO WA DAHARI
Uliza uambiwe ndugu.Hao jamaa ni shida kwenye ilo eneo.
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. ..MCHAGA NI PESA TU HUO MCHEZO HAWANA KABISA. .NITAKATAA MPAKA MWISHO WA DAHARI

Si ndo maana wanauza![emoji51][emoji51]
 
Dar kuna muingiliano wa watu mbali mbali kutoka nchi mbali mbali hivyo wageni hao huleta utama duni wao nchini nakuambukiza vijana wenye tamaa , kwani wengine sio kwakupenda kwao bali wanarubuniwa tu na mwishowe wanashindwa kuacha tabia hizo
 
Wabongo kwa Visingizio![emoji3][emoji3][emoji3]

Eti karubuniwa
 
Back
Top Bottom