Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Zamani kidogo kuna mwanamziki alipigwa risasi hadharani hukohuko marekani kisa ushoga leo wanasaini sheria, ya kuwakubali,sembuse huku hata mawe hawapigwi ndo kwanza wanasasambua kanga moko na kiingilio kikubwa watu wanatoa?
Mkuu wako wapi hao, tia hata picha hapa tuwaone..