chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,544
- 2,694
Naomba ndugu zangu muniambie. Hivi kuteketea kwa miji ya sodoma na gomora ilikua kazi ya binadamu aliyofanya labda kwa kumwaga petrol au bomu au kazi ya Mungu kutokana na hasira zake kwa vitendo vyao vya kusodomize. Kama ni kazi ya Mungu ina maana tumeshasahau na kwamba hawezi kuirudia tena?
bro binadamu cku iz 2natia knyaa sema MUNGU anatuvumilia sna ujue Mungu alituumba kwa mfano wke inauma sna kuona mwanaume wanageuzana hii inatia knyaa mbele za MUNGU mana n kumuaibisha yeye aliyetuumba kwa mfano wke ukiona haya ujue mwana wa m2 yupo njian kuja