Ushoga hapana Tanzania: Let's say #NoToLoveWins

Ushoga hapana Tanzania: Let's say #NoToLoveWins

Mimi sio pounga ila sioni tatizo mapunga kufurahia mahusiano yao karne ya 21 tuna mambo mengi ya kufanya sio kuwaamulia watu kuhusu mahusiano hayo ni masuala binafsi napenda mieleka lakini mimi mwanamieleka napenda boxing lakini mimii sio boxer.

Bro ckia kuna vitu vya kutetea bt kwa hili bro unatakiwa kuwa kmy wote ss hatupendi mamb ka haya coz co utaratb wa maisha na kidini pia haitakiw kwahy we ka c punga unashabikia ya nn hujui ni dalili ya kiama bro utapotea hoja na zko za kipumbuv tunatkwa ka watanzani tukemeee upumbavu ka huu
 
Kama Mnapinga Ushoga Mpinge Pia Wanaume Huko Magerezani KufuNgiwa Kwenye Kachumba Kamoja Ilihali nao Wana Haki Ya Kukutana Na Wenzi Wao
Hata Shule Za Boadingi Za Jinsia Moja
 
we shoga?hebu tuondolee.lana zako hapa karne 21 inahusiana nn nauchafu wenu nyny tangia zama zaluti mlilaaniwa na uliskia kilchowapata nduguzako karne hizo sasa naweendeleza upunga wako kwakisingizio chahaki kma hujui hakiipokwnye mambo yahalali vle unajitia upnguani lkn adhabu yamw.mungu haikmbiliku.ndomana nyny karibia wotte mnaukimwi
Unaaona nyie watu mlivyo na akili ndogo ndio maana nasema mpo century nyingi sana nyuma sasa unaniambia myth za luti hizo ni stori tu mkuu tuwaache watu na mahusiano yao wewe kama upo kwenye mahusiano kwanini una mpangia mtu namna gani na yeye aingie kwenye uhusiaon huo ujinga marekani wamekataa.
 
Kama tunapinga Ushoga pia Tuache Kwanza Kuwafira Wake Zetu Jamani, Maana Nimegundua Wanandoa Wengi Hii Ndo Michezo Yao
 
We shoga peleke unge.se wako huko huko kwa Obama..eti Love is love,,,what kind of love? A dude hitting another dude is what you call love?No that's sodomy and fuckery and I say no to it. It's insanity that don't make sense even with dogs. Even dogs are sane enough not to mount on other dogs of same orientation. And this has got nothing to do with religion..Over 90% of Chinese are non-religious and they are against this insanity. And this is why for sure America is becoming a big joke to the world right now.No one takes them serious not anymore...Eishh I really fear for my kids!!
Differentiate sodomy from homosexuality. It might be interesting for you to know that statistics tell that less than 10% of MSM practice anal sex. In fact straight couples practice sodomy (anal sex) more. Homosexuality goes beyond just sex. And who lied to you that animals (including dogs) don't practice homosexuality? I believe homosexuality is not right but then again, who are we to judge? Nature is far too complex for our mortal brains to grasp!
 
Kama Unajijua Wewe una...
mfira Mkeo Huna Tofauti Na Shoga....
mramba Mkeo Uke Au Kunyonya Koni HuTofautiani Na Shoga.....
Mrambana Mkund.u Mwenz Wako Nawe Shoga....
mfanya Mwenzio Kwa Njia Ya Mdomo wewe Ni Shoga Kabisa.....
So Tafakarini Kwanza Machief Kwani Vitabu Vitakatifu vimekataza Yote Hayo
 
mkuu bisexual inahusu sex zote na si binadadmu tu wanahusika heterosexual male vs female na homosexual ni same sex kama nimekosea nipo tayari kusahihishwa.
Usiseme Sisi ni bisexual. Labda Wewe Ndo bisexual..am sure umegugo na bdo hujaelewa Lkn ngoja nkusamehe tu na naomba usiniquote tena..sijibizani na namas**ga
 
Umefanya Research Yeyotee???
Lini Na Wapi?

Utafiti Nakuachia Mwenyewe Maana Huwezi Kuniamini
Kama We Ni Wa Kiume Kawaulize Dadazako Watano , Watatu Kati Yao tigo Zisharambishwa Koni
 
Nafikiri ushoga ni ugonjwa kama yalivyo magonjwa mengine duniani, nikama walivyo watu Wa jinsia2, bisexual. Wakizidi katka jamii nilazima wataanza kudai haki zao, Mara Dr.wao, Mara hospital zao, Mara nguo zao zinazowatambulisha kama bisexual n.k, kwahiyo hata ushoga tupende tusipende utakuja tu, hili ni tatizo la kijamii, wala sio tatizo la kujitakia kama ulivyo umalaya.

Sidhan kama hao viongozi Wa mataifa makubwa ni machiizi hadi wanakubaliana Na hao mashoga.Angalia historia ya ukimwi, katka miaka ya 80 Na 85, kama angetokea mtawala akasema kila mwathirka Wa ukimwi afungwe ili asiambukize wengine nafikiri huyo mtawalaangepata kura za kutosha, lakini leo hata ukimunyooshea kidole mwathirika we we uliyenyoosha kidole ndiye utapigwa mawe.

Hii ni kwa sababu kila nyumba inamwathirika au ilishapoteza mwenza waokwa ugonjwa huo. Na ukimwi sio ugonjwa Wa rahana tena Bali ni ugonjwa wetu wakat wowote unaweza kuwa nao. Sasa hata ushoga itafika mahala kila familia kuna shoga Na ukiitisha kura ya maoni kuhusu ushoga lazima watashinda kwa wingi wao.
 
Ndugu farajakwangu, bisexual Hana jinsia mbili..Bali anavutiwa kimapenzi na msichana ama mvulana
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri ushoga ni ugonjwa kama yalivyo magonjwa mengine duniani, nikama walivyo watu Wa jinsia2, bisexual. Wakizidi katka jamii nilazima wataanza kudai haki zao, Mara Dr.wao, Mara hospital zao, Mara nguo zao zinazowatambulisha kama bisexual n.k, kwahiyo hata ushoga tupende tusipende utakuja tu, hili ni tatizo la kijamii, wala sio tatizo la kujitakia kama ulivyo umalaya.

Sidhan kama hao viongozi Wa mataifa makubwa ni machiizi hadi wanakubaliana Na hao mashoga.Angalia historia ya ukimwi, katka miaka ya 80 Na 85, kama angetokea mtawala akasema kila mwathirka Wa ukimwi afungwe ili asiambukize wengine nafikiri huyo mtawalaangepata kura za kutosha, lakini leo hata ukimunyooshea kidole mwathirika we we uliyenyoosha kidole ndiye utapigwa mawe.

Hii ni kwa sababu kila nyumba inamwathirika au ilishapoteza mwenza waokwa ugonjwa huo. Na ukimwi sio ugonjwa Wa rahana tena Bali ni ugonjwa wetu wakat wowote unaweza kuwa nao. Sasa hata ushoga itafika mahala kila familia kuna shoga Na ukiitisha kura ya maoni kuhusu ushoga lazima watashinda kwa wingi wao.

Mkuu labda familia yenu Ndo ina hizo plan....

Ila Familia yangu haiwezi Hata kwa kulogwa wakawa mashoga....

watake watu radhi...tena haraka sana
 
Mkuu labda familia yenu Ndo ina hizo plan....

Ila Familia yangu haiwezi Hata kwa kulogwa wakawa mashoga....

watake watu radhi...tena haraka sana
Ushoga ni aibu naomba mungu kijana wako asikumbwe Na huo ugojwa ila je akishaupata unafanyaje ? Unamchinja!!! Hata hao tunaowasikia huko sio kwamba wanapenda hilo tatizo liwepo kwenye familia yao Bali hawana jinsi.swali kwan we we ungependa kumzaa motto kilema ? Je ikitokea unafanyaje? Basi jua hayo ni mapenzi ya mungu. Na wala tusifikiri kutoa maneno makali ndio kuzuia hata hao wazungu hawapendi ila ni basi tu hawana jinsi Na niaibu
 
Kwa Hiyo wazungu wana ugonjwa wa ushoga eeh?

Labda huku Afrika haujafika eti eeh?

daaaah...this is bongoland
 
Mkuu labda familia yenu Ndo ina hizo plan....

Ila Familia yangu haiwezi Hata kwa kulogwa wakawa mashoga....

watake watu radhi...tena haraka sana

Zamani kidogo kuna mwanamziki alipigwa risasi hadharani hukohuko marekani kisa ushoga leo wanasaini sheria, ya kuwakubali,sembuse huku hata mawe hawapigwi ndo kwanza wanasasambua kanga moko na kiingilio kikubwa watu wanatoa?
 
Back
Top Bottom