shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,441
- 3,613
Mkuu serikali haitakiwi kumuamulia mtu masuala ya mahusiano hayo ni mambo binafsi na ni ya karne nyingi sana nyuma yakipigwa jeki na dini lakini dunia ya sasa tunavyozungumzia demokrasia na uhuru ambao wewe unafurahi lazima tukubali uhuru una mambo mengi mojawapo ni haki ya kupenda na kuishi na unayemtaka na kupendwa.Kwaio sisi tusio sapport huu upuuz ni wa karne ya 20. kweli we umeendelea. Kwanza we ke au me¿