Ushirikina kwenye familia.....

fukunyungu

JF-Expert Member
May 16, 2011
717
194
Hv inakuaje ndugu kwa ndugu wa baba na mama mmoja wanarogana ili familia moja iwe nyuma kimaendeleo zaidi yake, inasikitisha sana.
 
Mkuu siku hizi hakuna Upendo... Imefika wakati hata wazazi wanawaua watoto wao wa kuzaa au kufanyia ushirikina...

Kwa kifupi DUNIA IMEKWISHA....
 
Mambo mengi ya ajabu hufanyika chanzo ni pesa,kifupi watu wamekua wapo tayar kufanya jambo lolote kwa ajili ya pesa
 
....supu tnazokunywa vijiweni HUJUI maji yametoka wapi (ndo ya kuoshea maitii..) chapati za juzi...sambusa tamu (ndani huju kuna nini)..baadhi ya wazee wa makabila fulani huwa hawali hovyo hovyo kila mahala... KWELI TUNATEMBEA ILI HALI MAREHEMU MTARAJIWA
 
Back
Top Bottom