Afrika ndiyo bara pekee lenye familia moja iliyo na watu wenye kuabudu madhehebu tofauti kila mmoja akimtafuta Mungu

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Nov 30, 2022
607
553
Habarini,

Jambo hili la watu wa familia moja yaani baba mmoja na mama mmoja kuabudu madhemu tofauti uislam i.e suni na shiha na ukristu i.e. Sabato, RC, FPCT, Anglikana, nk. Haliniingii akilini naona kama ni ukichaaa kabisa.

Nyie wenzangu mnalionaje hili kwani mimi naona ni ujinga uliopitiliza familia moja kumtafuta Mungu mmoja kupitia madhehebu tofauti wakati wote ni damu moja.

Tutafakari Waafrika tunaoteza muda!!
 
wewe una matatizo kichwani
yaani tatizo la ukristo ndio umelijumlisha kwa Waafrika wote. kwa hiyo ukristo ndio uafrika?
 
Uzi umekosa wachangiaji inaonekana mtoa mada kunatatizo kwenye uzi wako jitafakari
Ukiona uzi hauna wachangiaji tambua unauweli mkubwa ktk miono ya waafrika kwani mtu kama wewe huwezi kuchangia uzi wenye fikira pevu ukaacha uzi wa unbea hasa majungu.

Huu ni uzi wa kujikomboa kwa waliotayari kujikomboa

Sent from my SH-52C using JamiiForums mobile app
 
Tatizo umekuja kibangi unadhani binadamu aliyemjinga kwa kiasi kikubwa hapa duniani ni nani kama siyo wewe mwafrika?

Kama ulitawaliwa kimwili na bado unatawaliwa kifikra je nani mjinga kati yangu na wewe?

Ukristo ndiyo ujinga mjubwa uliowajaa waafrika na kutawala eneo kubwa la Afrika kama unabisha na hii basi ufe.

Sent from my SH-52C using JamiiForums mobile app
 
Uzi umekosa wachangiaji inaonekana mtoa mada kunatatizo kwenye uzi wako jitafakari
Haujakosa wachangiaji. Wengi wanaabudu dini kinafki! Hata kujadili wanahofu ni unafiki. Swali kabla ya hizi dini huku Africa tuliishije
 
Habarini,

Jambo hili la watu wa familia moja yaani baba mmoja na mama mmoja kuabudu madhemu tofauti uislam i.e suni na shiha na ukristu i.e. Sabato, RC, FPCT, Anglikana, nk. Haliniingii akilini naona kama ni ukichaaa kabisa.

Nyie wenzangu mnalionaje hili kwani mimi naona ni ujinga uliopitiliza familia moja kumtafuta Mungu mmoja kupitia madhehebu tofauti wakati wote ni damu moja.

Tutafakari Waafrika tunaoteza muda!!
hayo maisha tokea zamani kwa muafrika, nyumba moja au koo huyu ana abudu kwenye mti wa mkuyu, huyu jua, mwengine mtoni na mambo yalienda
 
Ukiona uzi hauna wachangiaji tambua unauweli mkubwa ktk miono ya waafrika kwani mtu kama wewe huwezi kuchangia uzi wenye fikira pevu ukaacha uzi wa unbea hasa majungu.

Huu ni uzi wa kujikomboa kwa waliotayari kujikomboa

Sent from my SH-52C using JamiiForums mobile app
Kwaiyo mie niliyechangia nachangia sana kwenye uzi wa umbea hasa majungu au sio basi tuseme tawile
 
Habarini,

Jambo hili la watu wa familia moja yaani baba mmoja na mama mmoja kuabudu madhemu tofauti uislam i.e suni na shiha na ukristu i.e. Sabato, RC, FPCT, Anglikana, nk. Haliniingii akilini naona kama ni ukichaaa kabisa.

Nyie wenzangu mnalionaje hili kwani mimi naona ni ujinga uliopitiliza familia moja kumtafuta Mungu mmoja kupitia madhehebu tofauti wakati wote ni damu moja.

Tutafakari Waafrika tunaoteza muda!!
undugu na imani ni vitu viwili tofauti, havihusiani. Lowasa alikuwa kkkt na mkewe RC, Hivo hata watoto kila mmoja ataabudu anapopaamini yeye. kwahiyo unataka watu walazimishwe kuabudu sehemu/dhehebu moja au
Tuliza wenge mkuu
 
Ww ndo una tatizo,jamaa yupo sahihi. Nikichaa tu anaweza kumpinga jamaa.
Acha kudandia comment za watu wewe kabla ya kucheck duration ya mada na comment sio unakurupuka kurupuka kama cha kwanza afya ya akili ni tatizo kwako shwain wewe
 
Dini ni imani ya mtu binafsi na si familia au ukoo mzima.Kwahiyo huwezi kumlazimisha mtu kuabudu asipokuwa na imani nako.
 
ndugu umeshindwa kuona kwamba waafrika wameelimika kwa sababu ya jambo hilo
Siyo lazima kurithi dini
Utatumikia dini ya wazazi mpaka utakapo kuwa na akili na kutambua kipi ni sahihi
Na utaenda kule ulipoona ni sahihi kwa utashi wako binafsi bila kupangiwa
Ukisikia kuishi nje ya box ndiyo hivyo
 
Habarini,

Jambo hili la watu wa familia moja yaani baba mmoja na mama mmoja kuabudu madhemu tofauti uislam i.e suni na shiha na ukristu i.e. Sabato, RC, FPCT, Anglikana, nk. Haliniingii akilini naona kama ni ukichaaa kabisa.

Nyie wenzangu mnalionaje hili kwani mimi naona ni ujinga uliopitiliza familia moja kumtafuta Mungu mmoja kupitia madhehebu tofauti wakati wote ni damu moja.

Tutafakari Waafrika tunaoteza muda!!
Haya mambo ya kumtafuta Mungu katika hizo famili ni sababu vitabu vyao havijitoshelezi kumzungumzia huyo Mungu.

Ndio mana kila mtu anaona yupo Sawa Kwa upande wake.

Binafsi kuanzia 2022 sijawahi kwenda msikitini tena baada ya kugundua haya mambo ya hizi Dini mbili ni Taasisi za kibiashara tu kwajili ya kumuibia pesa binadam mnyonge.

Mungu ninane lakini sio huyo wa kwenda kumuabudu huko misikitini na makanisani.
 
Back
Top Bottom