Yaah....wachawi wakichukua Ufahamu wako kila unachofanya unafanya kwa maelekezo yao.....Ukishaharibikiwa hutaki kuamini kama ww ndio umefanya mambo hayoHivi mind ya mtu inaweza kuwa hacked? Minahisi kama naendeshwa hivi,
unawezaje kumjua mchawi..?Ni uumbaji wa Mungu toka sayansi ya giza, huu ni ufalme wa shetani
Naamini kwa kiasi kikubwa kila MTU anaimani ya MUNGU kuna jamaa anaitwa Shetani...huyu ana majeshi yake na watu wake kama unavyoona Walokole wanavyokuwa Serious kumwabudu MUNGU wao ndivyo na Wachawi wanavyokuwabz kumtukuza mungu wao ambae ni shetani.... kwahiyo faida wanayopata kama ww unavyokwenda Kanisani au Mskitini ndivyo nao walivyokwanini wanaroga..?
hao wachawi wakishakuroga wanapata faida gani..?
na la mwisho nini chanzo cha hizo nguvu za kichawi..?
Ni vigumu kwakuwa ni kitu cha siri ila mienendo yake katika jamii mtajua tu kuwa huyu sieunawezaje kumjua mchawi..?
What is that community outreach program?
Kwanini mungu ameiachia hiyo nguvu ya kichawi ilete uharibifu wakati anauwezo wa kuiondoa..?Naamini kwa kiasi kikubwa kila MTU anaimani ya MUNGU kuna jamaa anaitwa Shetani...huyu ana majeshi yake na watu wake kama unavyoona Walokole wanavyokuwa Serious kumwabudu MUNGU wao ndivyo na Wachawi wanavyokuwabz kumtukuza mungu wao ambae ni shetani.... kwahiyo faida wanayopata kama ww unavyokwenda Kanisani au Mskitini ndivyo nao walivyo
Mungu amekupa akili ya kutambua mema na mabaya ni juu yako kuamua mustakabali wako, na uharibifu uko kwenye mambo mengi tu na si ndumba pekeeKwanini mungu ameiachia hiyo nguvu ya kichawi ilete uharibifu wakati anauwezo wa kuiondoa..?
nachotaka kujua ni sababu ya yeye kuiachia hiyo nguvuMungu amekupa akili ya kutambua mema na mabaya ni juu yako kuamua mustakabali wako, na uharibifu uko kwenye mambo mengi tu na si ndumba pekee
Kinga ni bora kuliko tiba, si wote wanaochukua ni wachawi wengi wanatumwa na hao wachawi kupeleka hiyo malighafiMi naona hakuna namna kama wameamua kufanya hivyo wafanye tu maana hakuna namna hata huo ushauri wa kuziifadhi/kuzilinda/kuzitunza hauna maana kwa kuwa wanazichukua kichawi.mfano nifanye mapenz na malaya kwa kutumia condom afu nichukue nikazitupe si wanaweza kuniteka kuchawi kabla sijazitupa chooni au wakazifuata humo chooni mi naona bora niziiache wakichukua poa wakiacha poa naama hakuna jinsi labda utusaidie mbinu za kumkwepa mchawi
cc. mshana jr
Aisee kaka Mshana,Mimi ni mdau sana wa jamii forum ila ni mdau msomaji tu hasaMojawapo wa vizazi vya duniani ni kizazi cha wachawi washirika na walozi..... Hii ni jamii inayofanya kila mbinu kujitanua na kujijengea himaya kubwa na yenye nguvu zaidi duniani
Kwenye ulimwengu wa kishirikina, mchawi mzuri na wa uhakika si yule wa kurithishwa au kufunzwa duniani (kwenye post zilizopita tumeona kuna vyuo vya kishirikina) hawa wanakuwa si halisi hawa wana damu na makandokando ya kiimani na starehe za kidunia, kwahiyo wachawi hufanya kila aina ya mbinu kupata kizazi chao kisichochakachuliwa kwa njia zifuatazo
1: kutumia wanawake wanaojiuza, vyovyote ufanyavyo ukifanya naye ngono kwa kondom au bila kondom lazima manii zako utaziacha... Kujiokoa na hili tumia kondom kisha ukimaliza kufanya dhambi zako katupe chooni usikubali yeye ndio afanye hiyo kazi itakula kwako
2: kutumia mahawara na nyumba ndogo wanaopenda kwenda kwa waganga... Yeye atatumwa manii zako ili atengenezewe dawa kumbe ndio watu wanazichukua wakafanyie yao
3: kupenda kujichua, mara nyingi hii watu hufanyia bafuni kule nako watu huweka mtego yao na kuchukua malighafi ....na hii mara nyingi ni kwa wale watu wazima
4:ndoto nyevu na kuota unafanya mapenzi mpaka unatoa manii kabisa, hii mara nyingi huwatokea wale Wenye kuleta nyodo kwa wanawake na kujisikia kulikopitiliza
Manii hizi huchanganywa na madawa na kwa njia za kishirikina huwekewa wanawake wenye mimba changa au mimba zinazotunga na kulea mimba ya kichawi mpaka mtoto anazaliwa akiwa mchawi, mtoto wa namna hii huwa agent tangu kuzaliwa kwahiyo hata ahubiriweje hawezi kubadilika
Jiepushe na haya kwa:
-Kuwa na mwenza mmoja mwaminifu
-kuhifadhi manii zako vizuri kwa namna yoyote ile na kwa hali yoyote ile, hakikisha haziangukii mikononi mwa yeyote
-epuka uwezavyo kufanya masturbation na kufanya mapenzi na watu usiowafahamu
Kwa njia hii utasaidia mno kudhoofisha kizazi cha kichawi na kishirikina
yeah ningependa kujua sasa kwann alimruhusuSababu kuu ni pale shetani alipoasi mbingu.. Labda Swali lako lingesema? Kwanini Mungu amruhusu shetani kufanya yote haya?
unaamini ktk MUNGU..?Mungu aliumba kila kitu na kinyume chake
Giza na mwanga
Mtu mume na mtu mke
Shetani na malaika
Mbingu na ardhi
Nknk
Alizaliwa kwa lengo maalum la kuja kusulubisha familia yako kishirikina... Hakuna jinsi zaidi ya kuomba Neema na Rehema za mwenyezi Mungu akunusuru na hili janga linalokunyemeleaAisee kaka Mshana,Mimi ni mdau sana wa jamii forum ila ni mdau msomaji tu hasa
Post zako uwa nazitafuta kila cku nizisome but hii mada imenilazimu kuchangia,aisee hiyo issue naamini ni kweli kabisa nina mf wangu hapa chini;
-Kipindi wife wangu km miaka minne ilopita akiwa mjamzito ilitokea akanichukia ghafla kiasi cha kukosa huduma ile muhimu kwa muda mrefu kadhaa,(eti mimba ilinikataa)hali yangu ilikuwa mbaya sana kwangu nikaamua kutafuta mbadala nje ya uwanja(mchepuko),ebwanae yule mdada tulianza mambo km marafiki na mara zote nilijitahid kutumia kinga(kondom)pia alijua kabisa nina wife tena mjamzito.Nashangaa sk moja nikiwa cjielewi japo nilikuwa nimetia bia kadhaa tukiwa ktkt ya sex ile wadudu wanakuja akachomoa kondom na kufanya manii yazame kwake,sikuwa na jinsi(nadhan kila mtu anajua hali iliyopo ukiwa ktk harakati za kumwaga wazungu,huna maamuzi).Kitendo hicho kilinikera na hatukuendelea tena na mahusiano but baada ya km mwezi akanitumia ujumbe kuwa tayari ni mjamzito na kuanza kunipa masharti kuwa mimba ile ni yangu but nisahau kabisa km nshawah kumpa mimba na kamwe nisimwambie ndugu yangu yeyote.Sasa mtoto amezaliwa binti nikapata bahati kumwoona na hakika anafanana na wanangu home lakini mama hataki kabisa niwe na mazoea na mwanangu.Sasa cha ajabu mtoto anaishi na bibi yake wakati mama kaolewa na jamaa mwingine,kila nikiangalia tabia za huyu binti c za kawaida na nimejarbu nimnasue kutoka kwa bibi imekuwa ngumu nahsi km mwanangu anaweza kuwa target ya KISHIRIKINA kwan ht historia ya mama na bibi huyu naioona km haileweki!!Pamoja na kukazia Uzi wa Mshana naombeni pia ushauri wa kumwokoa mwanangu kwan hawataki nimsaidie kwa namna yoyote na 4yrs now.Naomba pia mniwie radhi wapendwa kwan Mimi si mwandishi mzuri ndo maana uwa napenda kusoma sana post zenu wapendwa