Hawa watoto wenye single mothers wengi ni wahanga wa haya mambo ndio maana nimetahadharisha kuhusu vimada na nyumba ndogo
Asante sana kwa marekebisho nitarekebisha hiyo sentence, maana yangu ilikuwa hiyo... Thanks again!!Single mothers??? Kwani kuna mtoto mwenye double mothers au tripple mothers??
Mie nadhani ulitaka kumaanisha single parent!"😕😳🙄😡😡😡😡
lost id unaamini katika imani gani..? Naomba twende taratibu ili tuweze kuelimishana, sitaki nikulazimishe kuamini ninachoamini au vice versa la hasa nia ni kuelimishanaUchawi haupo na hakuna kitu kama hicho duniani.
Nashangaa humu watu wanajadili vitu ambavyo havipo, uchawi haupo na haujawahi kuwepo.
Nishawambia watu wanaodaiwa kua ni wachawi na waganga waniroge sijawahi kuonanimeroheka,kuna mwingine niliwahi kumpiga makofi nikamwambia akaniroge sijawahi kuona. Uchawi haupo.
Kama kuna mtu humu anadhani yeye ni mchawi akaniroge nimemruhusu.
Siamini uwepo wa nguvu nyingine inayotoka nje ya binadamu inayoweza kumkontroll binadam au kubadili mustakabali wa maisha yake.lost id unaamini katika imani gani..? Naomba twende taratibu ili tuweze kuelimishana, sitaki nikulazimishe kuamini ninachoamini au vice versa la hasa nia ni kuelimishana
subiria siku ukirogwa ndo utajua na kuamini Kuna Uturutumbi na ulogiSiamini uwepo wa nguvu nyingine inayotoka nje ya binadamu inayoweza kumkontroll binadam au kubadili mustakabali wa maisha yake.
Hawa watoto wenye single parent wengi ni wahanga wa haya mambo ndio maana nimetahadharisha kuhusu vimada na nyumba ndogo
Kuroga kwingi hakuna faida yoyote zaidi ya kukomoana kulipiza visasi roho mbaya wivu Chuki kijicho roho ya kwanini na upuuzi mwingine mwingi tukwanini wanaroga..?
hao wachawi wakishakuroga wanapata faida gani..?
na la mwisho nini chanzo cha hizo nguvu za kichawi..?
okay sa nini chanzo cha hizo nguvu za kichawi..?Kuroga kwingi hakuna faida yoyote zaidi ya kukomoana kulipiza visasi roho mbaya wivu Chuki kijicho roho ya kwanini na upuuzi mwingine mwingi tu
Hiki ulichoandika inaonyesha Tayari umesharogwa.....Uchawi haupo na hakuna kitu kama hicho duniani.
Nashangaa humu watu wanajadili vitu ambavyo havipo, uchawi haupo na haujawahi kuwepo.
Nishawambia watu wanaodaiwa kua ni wachawi na waganga waniroge sijawahi kuonanimeroheka,kuna mwingine niliwahi kumpiga makofi nikamwambia akaniroge sijawahi kuona. Uchawi haupo.
Kama kuna mtu humu anadhani yeye ni mchawi akaniroge nimemruhusu.