Ushindi wa makandokando kubebwa kulazimisha na ulaghai wala haunogi, Ninashauri Simba tuache janja janja tujenge timu

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
2,507
Reaction score
4,933
Nitashangaa sana mwanasimba yeyote atakayefurahia hata pale itakapotokea timu imetwaa ubingwa wa Ligi. Siku zote ukiitazama Yanga inavyocheza una enjoy anaona mpira halisi na hata wakichukua ubingwa unaona wamestahili!

Ila upande wa pili huko ukiangalia unaona kabisa ni ubingwa wa kulazimishia na kubebwa! Kwa kifupi HAUNOGI kabisa! Hakuna pira burudani huko!

Tujenge timu kwanza.
 
Ubingwa wa Yanga una makandokando,gsm inadhamini zaidi ya timu 9 ili yanga ipate ushindi mserereko
 
Simba na Yanga zote zinafanana kwa tabia ya uendeshaji wa timu zao. Kwa sasa tunaweza sema Yanga ana timu iliyokomaa ikilinganishwa na Simba ambayo inajengwa bado.
 
Yanga kwa Kushirikiana na GSM wanalipa zaidi ya Milioni 800 timu nane za ligi kuu.
Timu 1 sawa na Milioni 100.

Simba wanawapa marefa Milioni 5 kwa mchezo mmoja
 
Sasa ndio umeandika nini
 
Nitashangaa sana mwanasimba yeyote atakayefurahia hata pale itakapotokea timu imetwaa ubingwa wa Ligi. Siku zote ukiitazama Yanga inavyocheza una enjoy anaona mpira halisi na hata wakichukua ubingwa unaona wamestahili!

Ila upande wa pili huko ukiangalia unaona kabisa ni ubingwa wa kulazimishia na kubebwa! Kwa kifupi HAUNOGI kabisa! Hakuna pira burudani huko!

Tujenge timu kwanza.

Wewe kama MwananchiOG kwani ungeweza kusema tofauti na hivyo? 😀
 
Nitashangaa sana mwanasimba yeyote atakayefurahia hata pale itakapotokea timu imetwaa ubingwa wa Ligi. Siku zote ukiitazama Yanga inavyocheza una enjoy anaona mpira halisi na hata wakichukua ubingwa unaona wamestahili!

Ila upande wa pili huko ukiangalia unaona kabisa ni ubingwa wa kulazimishia na kubebwa! Kwa kifupi HAUNOGI kabisa! Hakuna pira burudani huko!

Tujenge timu kwanza.
Mtapiga mayowe sana mwaka huu, tarehe 15 June msipoleta timu inakula kwenu, endeleeni tu kushikiwa akili na mamluki Haji Manara
 
GSM kainajisi sana ligi yetu lakini nyani wa pori la utopolo hawaoni
 
Back
Top Bottom