USHINDI WA ARUMERU - M.M.Mwanakijiji alijuaje?

Alianza kama utani. Arumeru CDM ikishindwa viongozi wote wajiuzulu. Nikambishia kwamba CDM haitashinda, Kwa akili yangu nilijiuliza kura 19,000 zitanyan'ganywaje kutoka ccm? akasisitiza, mimi sikumuelewa.
Hatimaye CDM imeshinda na hakuna kiongozi atakayejiuzulu.
M.M.M aliona nini? alijuaje kwamba ni lazima CDM ishinde? alikuwa na uhakika gani mpaka akatoa msisitizo mkubwa hivyo?
M.M. Mwanakijiji nakukubali.
Kwa nini tusikuweke Ikulu utusaidie kuona mbali?

ikulu hawakai watabiri, kwa nini asichukue nafasi ya sheik yahaya
 
Kuanzia sasa mi nitakuwa nasoma post zake kwanza ili kujitoa pressure. Ulinifurahisha sana uliposema "NOTE ME" yalinipa ujasiri sana na nikuanza kuwaamsha watu waliolala kwa kupandwa na pressure hasa baada ya kutangazwa vituo alivyoshinda sioi
 
Mwanakijiji, alikuwa anaangalia upepo unavyovuma kwenye uchaguzi wa Arumeru! watu wengi mbona walijua mapema tu kuwa Chadema wameshinda baada ya kufanya majumuisho ya kila kituo hakuna cha ajabu alichokifanya Mwanakijiji, alitumiwa matokeo na Chadema akaanzisha thread humu JF.

Nakumbuka wewe ulibisha kwanza ... ulikuwa ukisubiri matokeo ya vijijini. Wataalam wakakuambia Arumeru hakuna vijiji na kama kuna vijiji basi vichache sana na huko kwenye vijiji ndiko walikoshikwa wale wazee wakipeleka kura 1000!
 
Mmkj hakuguess bali inaonesha ana mawasiliano ya karibu na watu waliokuwa jikoni, guess gani ile hadi tofauti ya kura,
hongera mkuu kwa kazi nzuri!
 
Alianza kama utani. Arumeru CDM ikishindwa viongozi wote wajiuzulu. Nikambishia kwamba CDM haitashinda, Kwa akili yangu nilijiuliza kura 19,000 zitanyan'ganywaje kutoka ccm? akasisitiza, mimi sikumuelewa.
Hatimaye CDM imeshinda na hakuna kiongozi atakayejiuzulu.
M.M.M aliona nini? alijuaje kwamba ni lazima CDM ishinde? alikuwa na uhakika gani mpaka akatoa msisitizo mkubwa hivyo?
M.M. Mwanakijiji nakukubali.
Kwa nini tusikuweke Ikulu utusaidie kuona mbali?

Ikulu kungekuwa kunaingili kiivyo hata shehe yahya angekufa akiwa ashaingia ikulu kwa vipindi vyake viwili
 
Mkuu, jiulize mwenyewe na tumia akili yako Mwanakijiji, aliyapataje matokeo ya Arumeru Mashariki na idadi ya kura wakati hayupo Tanzania!
Mie nakuambia hivyo sababu matokeo aliyotumiwa Mwanakijiji, walitumiwa watu wengi.

Kwani Mwanakijiji hayupo Bongo? Mimi nilizaniaga ni Majjid Mjengwa jamani
 
Mwanakijiji, alikuwa anaangalia upepo unavyovuma kwenye uchaguzi wa Arumeru! watu wengi mbona walijua mapema tu kuwa Chadema wameshinda baada ya kufanya majumuisho ya kila kituo hakuna cha ajabu alichokifanya Mwanakijiji, alitumiwa matokeo na Chadema akaanzisha thread humu JF.

Huo ndio ukweli Mkuu. Mimi nilikuwa Arusha kuna Radio inaitwa Sunrise ilikuwa inatangaza matokeo toka vituoni na hata vijana mitaani walikuwa na kalamu na karatasi wakawa wanafanya majumuisho. Pia walikuwa wakipiga simu kwa jamaa zao huko maeneo ya kupigia kura. Kufikia saa mbili kuna kijana alikuwa na sehemu kubwa sana ya matokeo na akatuambia kwamba CDM inaelekea kushinda kwa zaidi ya kura 6000.
 
Nakumbuka wewe ulibisha kwanza ... ulikuwa ukisubiri matokeo ya vijijini. Wataalam wakakuambia Arumeru hakuna vijiji na kama kuna vijiji basi vichache sana na huko kwenye vijiji ndiko walikoshikwa wale wazee wakipeleka kura 1000!

Keil,
Uzuri JF kuna kumbukumbu za members wote acha kuniwekea maneno mdomoni weka hiyo post yangu niliyombishia Mwanakijiji, kwenye matokeo aliyoweka.
 
Oh boy! nyie naona hamnipendi... I just guessed. Anyone could do it even a caveman
Nakiri mimi ni miongoni mwa walioamini CCM ingeshinda!. Hata ulipotoa tishio la viongozi wa Chadema kujiizulu wakishindwa, japo ulitoa na kila sababu za Chadema kushinda bado sikukuamini!. Ila ulipoutoa ule "waraka", nilikiri wazi kuwa matokeo yakiwa kinyume cha matarajio yangu, then it has something to do with "waraka"!.

Uchaguzi ni vita, ili kushinda vita, you don't need the brave fighters only, but the right strategies!. "waraka" was a stich in time!.

Sasa tusisubiri tena mpaka 2015, right strategies zianze sasa!.
 
ndio ujue tunatofautiana sana katika kufanya analysis. Ilikuwa obvious kwa CDM kushinda Arumeru.
 
Huo ndio ukweli Mkuu. Mimi nilikuwa Arusha kuna Radio inaitwa Sunrise ilikuwa inatangaza matokeo toka vituoni na hata vijana mitaani walikuwa na kalamu na karatasi wakawa wanafanya majumuisho. Pia walikuwa wakipiga simu kwa jamaa zao huko maeneo ya kupigia kura. Kufikia saa mbili kuna kijana alikuwa na sehemu kubwa sana ya matokeo na akatuambia kwamba CDM inaelekea kushinda kwa zaidi ya kura 6000.

Mkuu Kimbunga,
Watu hawajui kama Mwanakijiji yupo jikoni kabisa ndani ya Chadema wanataka kutuaminisha kama Mwanakijiji. ana upaku fulani.
 
Mwanakijiji, alikuwa anaangalia upepo unavyovuma kwenye uchaguzi wa Arumeru! watu wengi mbona walijua mapema tu kuwa Chadema wameshinda baada ya kufanya majumuisho ya kila kituo hakuna cha ajabu alichokifanya Mwanakijiji, alitumiwa matokeo na Chadema akaanzisha thread humu JF.

kaka wengi wape MMM ametisha,palipo na ukweli hatuna budi kuse,hongera sana brader! Hebu watabirie na 2015 who will be a Tanzanian presedent!VIVA CHADEMA!
 
Ukiondoa Mtwara, Lindi na Tabora, mahali kwingine kokote ukifanywa uchaguzi wa marudio na chadema wakadhibiti mianya ya wizi wa kura, basi kushindwa ccm haihitaji mtabiri. MMKJ aliliona hilo mapema.

Ni kweli kabisa, Unajua hata kesi ya kupinga ubunge wa Lema kule Arusha wanatamani mahakana isitengue ubunge maana wataaibika kwa kiasi kikubwa zaidi ya ilivyokuwa 2010 na hii itakuwa na athari kubwa kwenye uchaguzi wa 2015. Na Segerea ubunge wa Mahanga ukitengeliwa moja kwa moja ccm watakuwa wamepoteza jimbo jingine.
 
Mbona hamjiulizi kuwa Magamba walijuaje wakakimbia ucik, MMJ alipata jumla ya kura za vituo mapema kam viongozi wengine walivyo fanya ndo maana watu walianza kujazana na Joshua akwa pale USA mapema sana maana walijua, la Kmsifia MMJ hapa ni kua ana mkono mrefu... unaopata habari kwnye reliable sources!! Big UP Bro!!
 
kaka wengi wape MMM ametisha,palipo na ukweli hatuna budi kuse,hongera sana brader! Hebu watabirie na 2015 who will be a Tanzanian presedent!VIVA CHADEMA!
Mkuu unataka kutuaminisha kwamba MMM amechukua nafasi ya Sheikh Yahya Ibn Hussein? Kwa kutangaza matokeo, MMM hakutabiri bali alitangaza matokeo ambayo siyo Rasmi.
 
kaka wengi wape MMM ametisha,palipo na ukweli hatuna budi kuse,hongera sana brader! Hebu watabirie na 2015 who will be a Tanzanian presedent!VIVA CHADEMA!

Kaka ni mitazamo tofauti tu wala hakuna tatizo lolote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom