USHINDI WA ARUMERU - M.M.Mwanakijiji alijuaje?

M.M. Mwanakijiji amenkumbusha the LATE OCTOPUS PAUL wakati wa kombe la dunia S. Africa. M.M.Mwanakijiji anaweza kuwa OUR OCTOPUS PAUL na hii itausadia kupunguza unnecessary cost tunazo incur ku run by election. MMM ninafikiri matokeo ya Bububu hatakupatia shida! Hata mimi hayo ninaweza kubashiri CCM itaibuka kidedea
 
Mwanakijiji, alikuwa anaangalia upepo unavyovuma kwenye uchaguzi wa Arumeru! watu wengi mbona walijua mapema tu kuwa Chadema wameshinda baada ya kufanya majumuisho ya kila kituo hakuna cha ajabu alichokifanya Mwanakijiji, alitumiwa matokeo na Chadema akaanzisha thread humu JF.

upo wewe...........vipi safari yako ya kutoka posta hadi kimara bonyokwa ukiwa uchi ulifnikiwa?
 
Na akatangaza matokeo kabla ya Tume na kabla ya vyama! Wakaja watu na hojaji za "source" na "mwongo"...akakaa kimyaaaaa!!!

akatangaza idadi ile ile ya kura 32000+ kwa 26000+

kuna 'vichwa' vingine unapashwa kuviheshimu tu, hata kama hujawahi kuviona.
 
Mwanakijiji Big up.........hukuonekana kwenye matokeo tu hata kwenye ile psychological set up ya wanachadema uliipanguvu.
 
Mwanakijiji, alikuwa anaangalia upepo unavyovuma kwenye uchaguzi wa Arumeru! watu wengi mbona walijua mapema tu kuwa Chadema wameshinda baada ya kufanya majumuisho ya kila kituo hakuna cha ajabu alichokifanya Mwanakijiji, alitumiwa matokeo na Chadema akaanzisha thread humu JF.

ritz angalia comment yako unaikubali cdm utakosa buku mbili yako lumumba!!
 
Mwanakijiji, alikuwa anaangalia upepo unavyovuma kwenye uchaguzi wa Arumeru! watu wengi mbona walijua mapema tu kuwa Chadema wameshinda baada ya kufanya majumuisho ya kila kituo hakuna cha ajabu alichokifanya Mwanakijiji, alitumiwa matokeo na Chadema akaanzisha thread humu JF.

japokuwa nakuchukia, ila nakuunga mkono katika hii pointi.
 
hii inanifanya niamini kuwa mwanakijiji yupo jikoni kabisa kule chadema, mimi sioni upepo hapa. mwanakijiji nafikiri ananafasi fulani kule chadema ambapo haaki kuiweka wazi. na ametumika tu kuweka matokeo hapa jf lakini source kubwa ni chadema kwenyewe ndiko alikopata matokeo hayo, ni kawaida kwa chadema ku-summ up matokeo baada ya uchaguzi
 
Alianza kama utani. Arumeru CDM ikishindwa viongozi wote wajiuzulu.

Hiyo ni njia mojawapo ya kuhamasisha na kuongeza umakini katika kufanya jambo. Jaribu kufikiria refa makini anavyahangaika uwanjani wakati timu yake iko kwenye mtanange!!!!!.

Mwanakijiji namkubali, anajua mambo mengi kuliko hata viongozi wa Serikali ya TZ.
 
Dah! Kumbe rafik yetu Ritz yupo?,na Rejao je na yule Anajiita Dr.Kuneng'e bado wako I.C.U nini?
 
Oh boy! nyie naona hamnipendi... I just guessed. Anyone could do it even a caveman

Huna lolote, CALCULATOR ndo nimeshaingia jamvini, ntakuwa nawapa data za CCM mpk mchanganyikiwe wenyewe. Tatizo nyie CDM mmegeuza JF kama yenu. Subirieni uchaguzi mdogo wa madiwani ARUSHA mjionee wenyewe moto wa CCM. Tumejipanga, mtajibeba safari hii. Mwanakijiji ntakuuliza swali baada ya hukumu ya kesi ya LEMA kesho, nipime brain power yako..
 
simple, unachukua existing data/information na ukitumia method sahihi kufanya analysis ni lazima ukaribie majibu.

Ila ninachojifunza ni kuwa tunaweza kuamini claims za MM Mwanakijiji kuwa information alizonazo kuwa tukisikiliza mawazo ya wataalamu nchi yaweza kujinusuru kutoka janga hili la umasikini
 
Nakiri mimi ni miongoni mwa walioamini CCM ingeshinda!. Hata ulipotoa tishio la viongozi wa Chadema kujiizulu wakishindwa, japo ulitoa na kila sababu za Chadema kushinda bado sikukuamini!. Ila ulipoutoa ule "waraka", nilikiri wazi kuwa matokeo yakiwa kinyume cha matarajio yangu, then it has something to do with "waraka"!.

Uchaguzi ni vita, ili kushinda vita, you don't need the brave fighters only, but the right strategies!. "waraka" was a stich in time!.

Sasa tusisubiri tena mpaka 2015, right strategies zianze sasa!.

Aamen,
Nilisubiri kwa hamu maneno kama haya toka kwako. Now that u have said, i look forward to hear the same words in 2015.
Mungu ibariki Tanzania!
 
Huna lolote, CALCULATOR ndo nimeshaingia jamvini, ntakuwa nawapa data za CCM mpk mchanganyikiwe wenyewe. Tatizo nyie CDM mmegeuza JF kama yenu. Subirieni uchaguzi mdogo wa madiwani ARUSHA mjionee wenyewe moto wa CCM. Tumejipanga, mtajibeba safari hii. Mwanakijiji ntakuuliza swali baada ya hukumu ya kesi ya LEMA kesho, nipime brain power yako..

Kama unamuda wa kuperuzi Thread moja iliyoletwa na jamaa mmoja akiwa na washkaji zake wakiwa baa! Basi utapata jibu la Mwanakijiji kuhusiana na hiyo kesi! Amesema mjiandae kwenda pale viwanja vya mahakama kusherehekea ushindi wa Chadema hapo kesho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom