calculator
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 279
- 137
Dah! Kumbe rafik yetu Ritz yupo?,na Rejao je na yule Anajiita Dr.Kuneng'e bado wako I.C.U nini?
Baba yao CALCULATOR nipo pia. CDM nguvu ya soda tu
Dah! Kumbe rafik yetu Ritz yupo?,na Rejao je na yule Anajiita Dr.Kuneng'e bado wako I.C.U nini?
inamaana ni mkweli kabisa huwa habahatishiHuna lolote, CALCULATOR ndo nimeshaingia jamvini, ntakuwa nawapa data za CCM mpk mchanganyikiwe wenyewe. Tatizo nyie CDM mmegeuza JF kama yenu. Subirieni uchaguzi mdogo wa madiwani ARUSHA mjionee wenyewe moto wa CCM. Tumejipanga, mtajibeba safari hii. Mwanakijiji ntakuuliza swali baada ya hukumu ya kesi ya LEMA kesho, nipime brain power yako..[/QUOTE]
Kama unamuda wa kuperuzi Thready moja iliyoletwa na jamaa mmoja akiwa na washkaji zake wakiwa baa! Basi utapata jibu la Mwanakijiji kuhusiana na hiyo kesi! Amesema mjiandae kwenda pale viwanja vya mahakama kusherehekea ushindi wa Chadema hapo kesho.
Umerudi tena?'wenzio wako wapi mbona wote mlitoweka ghafla??
Oh boy! nyie naona hamnipendi... I just guessed. Anyone could do it even a caveman
Oh boy! nyie naona hamnipendi... I just guessed. Anyone could do it even a caveman
Mwanakijiji, alikuwa anaangalia upepo unavyovuma kwenye uchaguzi wa Arumeru! watu wengi mbona walijua mapema tu kuwa Chadema wameshinda baada ya kufanya majumuisho ya kila kituo hakuna cha ajabu alichokifanya Mwanakijiji, alitumiwa matokeo na Chadema akaanzisha thread humu JF.
Detroit,Michigan,USA
Imenibidi jana niende kwenye FB na kumtafuta, ila hata info zake kule zimekaa ki JF maana jina analotumia ndo hilohilo alafu hana picha sasa ninani huyu?