Inspirational thread,I agree with you Guy.Ushindi unakuja CHADEMA
Tell my people that l love them ,and they must continue the fight ,my blood will nourish the tree that will bear the fruits of freedom, Aluta continue!! " "waambie watu wangu kuwa nawapenda nawaendelee mapambano, damu yangu itarutubisha mti ambao utazaa matunda ya uhuru ! Mapambano yaendelee!! "
Haya ni maneno ya Solomoni Mahlangu Kijana mdogo wa miaka 22 wakati akinyongwa Na serikali mabeberu huko Afrika Kusini mwaka 1976.
Waliomnyonga wamekufa na wengine watakufa na kamwe hawatakumbukwa popote,lakini Solomon Mahlangu angali anaishi kwenye mioyo ya wengi licha ya kufa katika umri mdogo.Kijijini kwao limejengwa sanamu lake,Solomo Mahlangu freedom square,etc
Nimeanza na hii historia ya Solomon Mahlangu ili kuwakumbusha wanaMabadiliko popote kuwa Tusiogope,tusikate tamaa,ushindi unakuja CHADEMA na kamwe hakuna awezaye kuzuia ushindi huo!huu ni mwaka wa uchaguzi na wengi wamejeruhiwa na kukatishwa tamaa na matendo ya baadhi ambao wameishiwa pumzi!Wamwishowe pumzi kwa kuwa ubunge na udiwani ni swala la kufa na kupona kwao,wameishiwa pumzi kwa kuwa wanataka kufaidi mabadiliko waliyopigania!wameishiwa pumzi kwa kuwa ni wabinafsi.
Rai yangu kwako wewe mpenda mabadiliko,tuendelee kupambana kwa kuwa sisi ni sauti ya wasio na sauti,mabadiliko kwa ajili ya vizazi vijavyo....hakika majina yetu yataandikwa katika historia ya Washindi kama Solomon Mahlangu
Ujasiri wa kukemea uovu huzaa heshima,na utu katika jamii hata ukifa leo utakumbukwa ,unafiki na ubinafsi huzaa dhambi ya mauti ,na hata kama ukifa leo hautakumbukwa.
Kwa ajili yako wewe Mama ambaye hujui utawapa nini watoto wako nitaendelea kupigania mabadiliko...
Kwa ajili yako wewe kijana ambaye umehitimu masomo yako na huna ajira nitaendelea kupigania mabadiliko....
Ushindi unakuja CHADEMA!
Usiogope! Usiogope! Usiogope!
We have God We have the power
Nanyaro EJ
Mwenyekiti Arusha Mjini
Hiyo Tlaa mnamkumbuka kama ngome ya CDM,aliwahi kuwa CCM na sasa yupo CCM,Je huko alipo anagombea nafasi ya Magufuli?Kama alikuwa dira ya CDM,mbona mnaye huko CCM, Lowassa Naye mnaye miongoni mwenu,wanagombea nafasi gani?CDM ilikua ni ile ya 2010 enzi za dr slaa, kwasasa hakuna chochote
Nadhani unaongea bila data,hivo hoja yako inakuwa mfuNyinyi ubaya wenu hayo mnayatamka tu hamuwezi kuyatekeleza! Mfano wenu ni kama mama mwenye mtoto anayeumwa kwashiakor akienda clinik na akaulizwa mtoto anampa chakula gani - anaanza; maziwa, mayai, Samaki, dagaa na uji wa lishe na ninamnyonyesha!
Sasa CHADEMA mko hivyo!
Asante sana kiongoziUshindi unakuja CHADEMA
Tell my people that l love them ,and they must continue the fight ,my blood will nourish the tree that will bear the fruits of freedom, Aluta continue!! " "waambie watu wangu kuwa nawapenda nawaendelee mapambano, damu yangu itarutubisha mti ambao utazaa matunda ya uhuru ! Mapambano yaendelee!! "
Haya ni maneno ya Solomoni Mahlangu Kijana mdogo wa miaka 22 wakati akinyongwa Na serikali mabeberu huko Afrika Kusini mwaka 1976.
Waliomnyonga wamekufa na wengine watakufa na kamwe hawatakumbukwa popote,lakini Solomon Mahlangu angali anaishi kwenye mioyo ya wengi licha ya kufa katika umri mdogo.Kijijini kwao limejengwa sanamu lake,Solomo Mahlangu freedom square,etc
Nimeanza na hii historia ya Solomon Mahlangu ili kuwakumbusha wanaMabadiliko popote kuwa Tusiogope,tusikate tamaa,ushindi unakuja CHADEMA na kamwe hakuna awezaye kuzuia ushindi huo!huu ni mwaka wa uchaguzi na wengi wamejeruhiwa na kukatishwa tamaa na matendo ya baadhi ambao wameishiwa pumzi!Wamwishowe pumzi kwa kuwa ubunge na udiwani ni swala la kufa na kupona kwao,wameishiwa pumzi kwa kuwa wanataka kufaidi mabadiliko waliyopigania!wameishiwa pumzi kwa kuwa ni wabinafsi.
Rai yangu kwako wewe mpenda mabadiliko,tuendelee kupambana kwa kuwa sisi ni sauti ya wasio na sauti,mabadiliko kwa ajili ya vizazi vijavyo....hakika majina yetu yataandikwa katika historia ya Washindi kama Solomon Mahlangu
Ujasiri wa kukemea uovu huzaa heshima,na utu katika jamii hata ukifa leo utakumbukwa ,unafiki na ubinafsi huzaa dhambi ya mauti ,na hata kama ukifa leo hautakumbukwa.
Kwa ajili yako wewe Mama ambaye hujui utawapa nini watoto wako nitaendelea kupigania mabadiliko...
Kwa ajili yako wewe kijana ambaye umehitimu masomo yako na huna ajira nitaendelea kupigania mabadiliko....
Ushindi unakuja CHADEMA!
Usiogope! Usiogope! Usiogope!
We have God We have the power
Nanyaro EJ
Mwenyekiti Arusha Mjini
Mkuu mbona haya mambo yanaendelea tu !Miezi hii ni muhimu kuamsha tena Chadema ni msingi! Tuma watu wapite kila nyumba kuamsha, kuwakumbusha watu kuwa muda ni mchache! Erythrocyte Mwanahabari Huru
Sawa kamanda ushuziUshindi unakuja CHADEMA
Tell my people that l love them ,and they must continue the fight ,my blood will nourish the tree that will bear the fruits of freedom, Aluta continue!! " "waambie watu wangu kuwa nawapenda nawaendelee mapambano, damu yangu itarutubisha mti ambao utazaa matunda ya uhuru ! Mapambano yaendelee!! "
Haya ni maneno ya Solomoni Mahlangu Kijana mdogo wa miaka 22 wakati akinyongwa Na serikali mabeberu huko Afrika Kusini mwaka 1976.
Waliomnyonga wamekufa na wengine watakufa na kamwe hawatakumbukwa popote,lakini Solomon Mahlangu angali anaishi kwenye mioyo ya wengi licha ya kufa katika umri mdogo.Kijijini kwao limejengwa sanamu lake,Solomo Mahlangu freedom square,etc
Nimeanza na hii historia ya Solomon Mahlangu ili kuwakumbusha wanaMabadiliko popote kuwa Tusiogope,tusikate tamaa,ushindi unakuja CHADEMA na kamwe hakuna awezaye kuzuia ushindi huo!huu ni mwaka wa uchaguzi na wengi wamejeruhiwa na kukatishwa tamaa na matendo ya baadhi ambao wameishiwa pumzi!Wamwishowe pumzi kwa kuwa ubunge na udiwani ni swala la kufa na kupona kwao,wameishiwa pumzi kwa kuwa wanataka kufaidi mabadiliko waliyopigania!wameishiwa pumzi kwa kuwa ni wabinafsi.
Rai yangu kwako wewe mpenda mabadiliko,tuendelee kupambana kwa kuwa sisi ni sauti ya wasio na sauti,mabadiliko kwa ajili ya vizazi vijavyo....hakika majina yetu yataandikwa katika historia ya Washindi kama Solomon Mahlangu
Ujasiri wa kukemea uovu huzaa heshima,na utu katika jamii hata ukifa leo utakumbukwa ,unafiki na ubinafsi huzaa dhambi ya mauti ,na hata kama ukifa leo hautakumbukwa.
Kwa ajili yako wewe Mama ambaye hujui utawapa nini watoto wako nitaendelea kupigania mabadiliko...
Kwa ajili yako wewe kijana ambaye umehitimu masomo yako na huna ajira nitaendelea kupigania mabadiliko....
Ushindi unakuja CHADEMA!
Usiogope! Usiogope! Usiogope!
We have God We have the power
Nanyaro EJ
Mwenyekiti Arusha Mjini
Mbowe ataondoka vp sasa wakati ndo mshika jembe pale?Lissu?! Siku yoyote anaweza hama akipewa dau la kutoshaHata huyo Slaa unayemlilia hapa ana bei, kama alivyojiuzulu alitangaza kuacha siasa, halafu baadae akapewa ubalozi huko nje, nikuulize ile ni nafasi ya nini, sio siasa? au ni ualimu kwa akili yako!.
Slaa kakaa Chadema muda wote akituaminisha CCM kumeoza, halafu baadae anapewa ugali na kiongozi wa CCM hiyo hiyo na anaula hiyo ni akili ya wapi!
Huna ujualo my friend; unapozungumzia kununuliwa hizo ni tabia za baadhi ya wanasiasa wa kitanzania, na kununuliwa kupo kwa aina nyingi, hata ubinafsi ni sawa na kununuliwa. Wapo waliokimbilia CDM lowassa alipokuja, then wakarudi CCM alipoondoka, wale nao ni wabinafsi usiniambie wanajua wanachopigania zaidi ya matumbo yao.
Hivyo ni ufinyu wa upeo unaouonesha hapa kwa kuihukumu taasisi yote kwa matendo ya baadhi ya wanachama wake, wapo wasafi hawastahili hiyo hukumu yako. Mbowe mpaka leo bado yupo CDM licha ya majanga yote aliyofanyiwa na serikali ya CCM, huyu lazima aungwe mkono na wapenda mabadiliko wote wanaojielewa. Lissu.....
Mabadiliko sio kitendo cha kulala na kuamka uwe umeshakipata, hiyo ni sawa na vita. Wapo askari watakaofia njiani lakini mapambano lazima yaendelee, kuwaza kususa eti kwasababu baadhi ya askari wako wamepotea ni ushamba.
Acheni drama za ulevi na kuchepuka ndio mtashindaUshindi unakuja CHADEMA
Tell my people that l love them ,and they must continue the fight ,my blood will nourish the tree that will bear the fruits of freedom, Aluta continue!! " "waambie watu wangu kuwa nawapenda nawaendelee mapambano, damu yangu itarutubisha mti ambao utazaa matunda ya uhuru ! Mapambano yaendelee!! "
Haya ni maneno ya Solomoni Mahlangu Kijana mdogo wa miaka 22 wakati akinyongwa Na serikali mabeberu huko Afrika Kusini mwaka 1976.
Waliomnyonga wamekufa na wengine watakufa na kamwe hawatakumbukwa popote,lakini Solomon Mahlangu angali anaishi kwenye mioyo ya wengi licha ya kufa katika umri mdogo.Kijijini kwao limejengwa sanamu lake,Solomo Mahlangu freedom square,etc
Nimeanza na hii historia ya Solomon Mahlangu ili kuwakumbusha wanaMabadiliko popote kuwa Tusiogope,tusikate tamaa,ushindi unakuja CHADEMA na kamwe hakuna awezaye kuzuia ushindi huo!huu ni mwaka wa uchaguzi na wengi wamejeruhiwa na kukatishwa tamaa na matendo ya baadhi ambao wameishiwa pumzi!Wamwishowe pumzi kwa kuwa ubunge na udiwani ni swala la kufa na kupona kwao,wameishiwa pumzi kwa kuwa wanataka kufaidi mabadiliko waliyopigania!wameishiwa pumzi kwa kuwa ni wabinafsi.
Rai yangu kwako wewe mpenda mabadiliko,tuendelee kupambana kwa kuwa sisi ni sauti ya wasio na sauti,mabadiliko kwa ajili ya vizazi vijavyo....hakika majina yetu yataandikwa katika historia ya Washindi kama Solomon Mahlangu
Ujasiri wa kukemea uovu huzaa heshima,na utu katika jamii hata ukifa leo utakumbukwa ,unafiki na ubinafsi huzaa dhambi ya mauti ,na hata kama ukifa leo hautakumbukwa.
Kwa ajili yako wewe Mama ambaye hujui utawapa nini watoto wako nitaendelea kupigania mabadiliko...
Kwa ajili yako wewe kijana ambaye umehitimu masomo yako na huna ajira nitaendelea kupigania mabadiliko....
Ushindi unakuja CHADEMA!
Usiogope! Usiogope! Usiogope!
We have God We have the power
Nanyaro EJ
Mwenyekiti Arusha Mjini
Tatizo ni mfumo sio mtu mmoja mmoja. Sisiem sera zake ni za zamani na mfumo wake ni ule ule. Watu wanapeana madaraka kwa kuangalia mtoto wa nani ndio maana tuna akina Nyerere, Kikwete, Makamba, Malecela, Mwinyi, Nnauye, haya majina ya zamani bado yapo kwenye chama na serikali. Na huwezi kutenganisha mfumo wa ccm na serikali ni watu walewale. Mnakosea sana watanzania kwa kuendelea kuendekeza ccm, wenzetu Kenya, n.k. walishaachana na vyama vya zamani. Kama kawaida Tanzania hufuata mkiani kwasababu watz wengi fikiria yao ni cholooo sana.Napenda chama chochote kinacho jali wananchi wake. Wewe huitaki CCM sababu ya viongozi wa zamani na visalia vyao vichache katika uongozi huu wa awamu ya tano. Lakini tangu Dr. Magufuli awe mwenyekiti wa CCM (sisemi Rais), CCM imebadirika siyo ya kupenda tumbo tena. Ila tu kwa visalia tu na wale wenye mawazo ya ccm ya zamani.
Bila Lowasa "rais wa mioyoni" mnapoteza muda wenu bure.Ushindi unakuja CHADEMA
Tell my people that l love them ,and they must continue the fight ,my blood will nourish the tree that will bear the fruits of freedom, Aluta continue!! " "waambie watu wangu kuwa nawapenda nawaendelee mapambano, damu yangu itarutubisha mti ambao utazaa matunda ya uhuru ! Mapambano yaendelee!! "
Haya ni maneno ya Solomoni Mahlangu Kijana mdogo wa miaka 22 wakati akinyongwa Na serikali mabeberu huko Afrika Kusini mwaka 1976.
Waliomnyonga wamekufa na wengine watakufa na kamwe hawatakumbukwa popote,lakini Solomon Mahlangu angali anaishi kwenye mioyo ya wengi licha ya kufa katika umri mdogo.Kijijini kwao limejengwa sanamu lake,Solomo Mahlangu freedom square,etc
Nimeanza na hii historia ya Solomon Mahlangu ili kuwakumbusha wanaMabadiliko popote kuwa Tusiogope,tusikate tamaa,ushindi unakuja CHADEMA na kamwe hakuna awezaye kuzuia ushindi huo!huu ni mwaka wa uchaguzi na wengi wamejeruhiwa na kukatishwa tamaa na matendo ya baadhi ambao wameishiwa pumzi!Wamwishowe pumzi kwa kuwa ubunge na udiwani ni swala la kufa na kupona kwao,wameishiwa pumzi kwa kuwa wanataka kufaidi mabadiliko waliyopigania!wameishiwa pumzi kwa kuwa ni wabinafsi.
Rai yangu kwako wewe mpenda mabadiliko,tuendelee kupambana kwa kuwa sisi ni sauti ya wasio na sauti,mabadiliko kwa ajili ya vizazi vijavyo....hakika majina yetu yataandikwa katika historia ya Washindi kama Solomon Mahlangu
Ujasiri wa kukemea uovu huzaa heshima,na utu katika jamii hata ukifa leo utakumbukwa ,unafiki na ubinafsi huzaa dhambi ya mauti ,na hata kama ukifa leo hautakumbukwa.
Kwa ajili yako wewe Mama ambaye hujui utawapa nini watoto wako nitaendelea kupigania mabadiliko...
Kwa ajili yako wewe kijana ambaye umehitimu masomo yako na huna ajira nitaendelea kupigania mabadiliko....
Ushindi unakuja CHADEMA!
Usiogope! Usiogope! Usiogope!
We have God We have the power
Nanyaro EJ
Mwenyekiti Arusha Mjini
Lowassa yupiBila Lowasa "rais wa mioyoni" mnapoteza muda wenu bure.
Yule Mr. Whitehair aka Mamvi mliemdekia barabara.Lowassa yupi
Yuko wp cku hzYule Mr. Whitehair aka Mamvi mliemdekia barabara.
Hata sijui.Yuko wp cku hz
Uliza lumumba hapo watakupa majibuHata sijui.
Kwani kabla ya 2015 alikuwa wapi?Uliza lumumba hapo watakupa majibu
Yote utayapata hapo hapo lumumbaKwani kabla ya 2015 alikuwa wapi?
Jibu swali wewe, unafikiri kila mtu anajua hiyo Lumumba iko wapi?Yote utayapata hapo hapo lumumba
Mwenye mdomo hapotei..nenda lumumbaJibu swali wewe, unafikiri kila mtu anajua hiyo Lumumba iko wapi?
Ndio wapi huko?Mwenye mdomo hapotei..nenda lumumba