Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,124
nimeamua kuandikia juu ya tabia na upuuzi wa wapenzi wenye tabia ya kutaka kuvunja mahusiano bila kukosewa na wapenzi wao kwa kisingizio kuwa kwa sasa wamepoteza hisia zote kwa wapenzi wao na hivyo wanahitaji kuwaacha.
HUU NDIO UNAFIKI WAO MKUBWA JUU YA USALITI WAO.
1.kwanza wakati mapenzi yao bado ni matamu na wanayafurahia.
(a)ANAFANYA USALITI WA KWANZA KWA KUTOA AMA KUGAWA PENZI KWA MTU MWINGINE.
(b)baada ya usaliti huu haoni kosa lake na anajiona yeye ni mwema kwenye penzi lao.
(c)anafanya usaliti kwa mara ya pili huku akimhadaa mpenzi wake kuwa ni mwaminifu na anampenda sana.
(d)baada ya hapo anaanza kukolea kwenye penzi jipya.
MAKOSA YOTE YA USALITI NI CHANZO CHA MATATIZO YOTE YANAYOFATIA.
2.msaliti huyuhuyu anakuja hapa jamii forum,ama anaenda kwa rafiki yake,ama collegue wake ama mama yake ama mtu yeyote kuomba ushauri kuwa afanyaje ili kumuacha mpenzi wake kwa kuwa upendo kwa mpenzi wake haupo tena.
(a)hapo hajui kuwa chanzo cha upendo wake kuisha ni usaliti alioufanya mpaka akakolea kwa mtu mwingine na anachotaka ni kuhamia mzimamzima kwa mpenzi mwingine mpya.
(b)kitu kingine cha ajabu huwa hawaji ama hawaendi kuomba ushauri kuwa wafanyaje ili warejeshe upendo kama zamani lakini wanakuja ama wanaenda kuomba ushauri ni kwa namna gani wamwache mpenzi halali wa mwanzo
(c)wakati wanaomba ushauri hawadhubutu kusema kuwa wamekosa hisia za mapenzi na upendo kwa sababu ya mapenzi na mpenzi mpya,wanajifanya ni hali imetokea tu.
GUYS TAKE CARE.
si busara hata kidogo kufanya usaliti na ukawa chanzo cha kumuacha mpenzi wako bila sababu ya msingi zaidi ya usaliti wa mwanzo.
hapo ndipo watu wanauawawa.
mana haiwezekani mtu kakupenda na kukufanyia kila jema eti leo humtaki bila sababu,japo sababu ipo nayo ni usaliti wako na usingefanya usaliti usingejua kuwa huyu wa sasa ni mtamu ama ni bora kuliko uliye naye