USHENZI WA WATU WANAOSEMA "kwa sasa sijisikii tena kumpenda mpenzi wangu,nifanyaje ili nimuache"

Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,536
2,000
nimeamua kuandikia juu ya tabia na upuuzi wa wapenzi wenye tabia ya kutaka kuvunja mahusiano bila kukosewa na wapenzi wao kwa kisingizio kuwa kwa sasa wamepoteza hisia zote kwa wapenzi wao na hivyo wanahitaji kuwaacha.

HUU NDIO UNAFIKI WAO MKUBWA JUU YA USALITI WAO.
1.kwanza wakati mapenzi yao bado ni matamu na wanayafurahia.
(a)ANAFANYA USALITI WA KWANZA KWA KUTOA AMA KUGAWA PENZI KWA MTU MWINGINE.
(b)baada ya usaliti huu haoni kosa lake na anajiona yeye ni mwema kwenye penzi lao.
(c)anafanya usaliti kwa mara ya pili huku akimhadaa mpenzi wake kuwa ni mwaminifu na anampenda sana.
(d)baada ya hapo anaanza kukolea kwenye penzi jipya.
MAKOSA YOTE YA USALITI NI CHANZO CHA MATATIZO YOTE YANAYOFATIA.

2.msaliti huyuhuyu anakuja hapa jamii forum,ama anaenda kwa rafiki yake,ama collegue wake ama mama yake ama mtu yeyote kuomba ushauri kuwa afanyaje ili kumuacha mpenzi wake kwa kuwa upendo kwa mpenzi wake haupo tena.
(a)hapo hajui kuwa chanzo cha upendo wake kuisha ni usaliti alioufanya mpaka akakolea kwa mtu mwingine na anachotaka ni kuhamia mzimamzima kwa mpenzi mwingine mpya.
(b)kitu kingine cha ajabu huwa hawaji ama hawaendi kuomba ushauri kuwa wafanyaje ili warejeshe upendo kama zamani lakini wanakuja ama wanaenda kuomba ushauri ni kwa namna gani wamwache mpenzi halali wa mwanzo
(c)wakati wanaomba ushauri hawadhubutu kusema kuwa wamekosa hisia za mapenzi na upendo kwa sababu ya mapenzi na mpenzi mpya,wanajifanya ni hali imetokea tu.

GUYS TAKE CARE.
si busara hata kidogo kufanya usaliti na ukawa chanzo cha kumuacha mpenzi wako bila sababu ya msingi zaidi ya usaliti wa mwanzo.
hapo ndipo watu wanauawawa.
mana haiwezekani mtu kakupenda na kukufanyia kila jema eti leo humtaki bila sababu,japo sababu ipo nayo ni usaliti wako na usingefanya usaliti usingejua kuwa huyu wa sasa ni mtamu ama ni bora kuliko uliye naye
 
Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,932
2,000
mkuu pangilia kazi yako basi!

acha basi hata space baina ya headings ya vitu ulivyoandika!
 
Varbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
1,073
2,000
Nimeisoma saikolojia ya muandishi kwa lugha ya vijana wanasema amevurugwa!! Mie nikupe ushauri jifunze kukubaliana na Yale usiyokuliana nayo nafsi ya mtu ni kiza kinene!! Mapenzi sio permanent stuff! Usiamini I love you! Hilo neno liliisha expire kitambo!!
 
kachu snipper

Member
Dec 22, 2013
76
0

Tena mm nizaid yako Kwan wananiboa kwel
 
MtamaMchungu

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
5,548
2,000
Hii kitu ni complex
Tunapopenda tunapenda kwa sababu, hata kama hatuwezi kuisema tukiulizwa lakini hiyo sababu ipo!

Je hiyo sababu ikiisha, kuna kosa kuacha kumpenda huyo mtu?

Tuwe wakweli, mapenzi yakianza kuisha ni ngumu sana kuyarudisha kama zamani hasa kama mwenzako kapata kitu better kuliko alichonacho sasa. Sasa bora nini, kuumizwa sasa na upone uendelee au baadae?
 
Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,536
2,000
Nimeisoma saikolojia ya muandishi kwa lugha ya vijana wanasema amevurugwa!! Mie nikupe ushauri jifunze kukubaliana na Yale usiyokuliana nayo nafsi ya mtu ni kiza kinene!! Mapenzi sio permanent stuff! Usiamini I love you! Hilo neno liliisha expire kitambo!!

mtasema sana,mtajitwika utaalamu wa saikolojia, nadhani hapa utakuwa mgeni,kama ungekuwa mwenyeji katika mada zangu wala usingefikiria hii,kila mada inapohit penyewe watakuja watu waseme nimevurugwa, mpenzi wangu yupo nami na tena akiwa na maxmum happiness,pia na enjoy uwepo wake karibu,nani wa kunivuruga zaidi ya nimpendaye?mada zangu hutokaa na kufikiria juu ya matatizo mbalimbali ya kimapenzi, na ni mada chache sana ambazo naandika baada ya kuona tukio, na ninarudia tena kwa mwaka mzima ni mada moja tu iliyonihusu mimi na mpenzi wangu na mtu mwingine wa tatu aliyetamani baby wangu, na hiyo mda haikuwa siri, nilisema moja kwa moja nikielezea mwanzo wa a tukio mpaka mwisho wa tukio, mada ilivuta michango ya watu wengi sana,ilikuwa hapa mmu baadae ikahamishiwa jukwaa la elimu,lakini baadae jamaa yangu wa karibu aliniambia nimekosea kuweka wazi mada ya kweli iliyohusu tukio la jana yake na mpenzi, na hivyo nilioomba msaada kwa moderator mada ikaondolewa, hizi zingine zote ni ubongo wangu tu.
 
Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,536
2,000
Hii kitu ni complex
Tunapopenda tunapenda kwa sababu, hata kama hatuwezi kuisema tukiulizwa lakini hiyo sababu ipo!

Je hiyo sababu ikiisha, kuna kosa kuacha kumpenda huyo mtu?

Tuwe wakweli, mapenzi yakianza kuisha ni ngumu sana kuyarudisha kama zamani hasa kama mwenzako kapata kitu better kuliko alichonacho sasa. Sasa bora nini, kuumizwa sasa na upone uendelee au baadae?
tatizo kubwa ni kwamba.
1.usaliti
bila usaliti kwanza si rahisi kuisha ama kuondoka kwa upendo.
mtu anawekeza kwako kuanzia matumaini yake yote,anawekeza rsilimali kwako kwa sababu tu ulimwambia ama unamwambia yeye ni chaguo la maisha yake kumbe ni mwizi fulani tu, hakuna upendo usio na uvumulivu,vitu vizuri haviishi
2.uongo
husemi ukweli
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom