..ushenga..

mbona hao ni madalali wa kawaida kabisa, kukutafutia mke au demu wa siku moja, kawaida kabisa.

Huku nakoishi kuna dalali wa kila kitu.
 
usione watu wa masaki, roho ngumu kuliko za watu wa tandale, huku tandale tunatumia roba za mbao, masaki wanatumia kalamu, mabilioni ya EPA.
Umeonae? Afu za tandale zinagusa mtu mmoja mmoja wakati za masaki zinagusa taifa zima, mbaya sana!
 
Twende tukakumbushie,

amepotea katika mazingira ya kutatanisha, atakuwa kapata jimama kama husninyo kila siku linamlowekea suruali na mkwara juu... Akija navunja ndoa.
heheeh hapa patamu, yaani mzembe inabidi nichat na bukta tu. Si nilikwambia ngoma ya children haikeshi
 
ukinyoa nywele ambazo sio za kichwani, zina soko na kuna madali wake spesho.

Naskia zinatumika kutengeneza mapambo ya kike.
Confirmed, na ukipata za bi kizee ambazo zina mvi mvi inakuwa double price. Hizi ndio biashara za ze finest
 
Confirmed, na ukipata za bi kizee ambazo zina mvi mvi inakuwa double price. Hizi ndio biashara za ze finest
Hivi finest kawekwa kinyumba na jimama gani? Amepotea sana, simu hapokei, pm hajibu, nimejaribu kumtumia barua jana ndo nasubiria kama ataijibu..
 
Hiyo mbona part-time job ya ukweli sana halafu inajenga connection na heshima inakuwa juu.
 
Hivi finest kawekwa kinyumba na jimama gani? Amepotea sana, simu hapokei, pm hajibu, nimejaribu kumtumia barua jana ndo nasubiria kama ataijibu..
Nawahi sehem sehem lakini in short ze finest amepata food poisoning baada kula maharage ya kiporo, amepigwa dripu ya lucozade na anategemewa kutolewa kesho kwa masharti.
 
nilisikia karudishwa kijijini na jimama moja la Sinza.
Lilimpa mtaji wa duka la nguo, akaishia kupiga pamba nguo zote dukani.

Hivi finest kawekwa kinyumba na jimama gani? Amepotea sana, simu hapokei, pm hajibu, nimejaribu kumtumia barua jana ndo nasubiria kama ataijibu..
 
ni kweli na mie nimeona sehemu kama mshenga anatakiwa alipwe nilibakia mdomo wazi
 
Back
Top Bottom