Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 10,242
- 35,523
Nimekuwa nikifuatilia kampeni za wagombea wenza wa urais baina ya Salum Mwalimu (CHADEMA) dhidi ya Samia Suluhu (CCM) na kwa hakika kuna tofauti kubwa sana.
Nilijikita kuchambua kwenye mambo muhimu matano tu (Handira, Hamasa, Hoja, Ushawishi na Upeo). Bila shaka utagundua wazi kabisa kuwa, uwezo wa Salum Mwalimu kisiasa uko juu mnoo ikiwa utamlinganisha na Samia Suluhu katika hayo mambo matano. Yaani kampeni zimeshika kasi lakini Samia Suluhu ameshindwa kuwa gumzo katika majukwaa ya kisiasa wakati Magufuli yupo kwenye mapumziko ya kampeni.
Binafsi sioni faida ya Samia Suluhu katika kumsakia kura Magufuli. Amepwaya sana. Samia amekuwa kama kivuli kisichoonekana. Yaani Samia Suluhu kampeni zake zina Hadhira ndogo, Hamasa kidogo, Hoja zisizovutia wahudhuriaji, Ushawishi duni na Upeo mwenye kutia mashaka sana.
Mama Samia anakwama wapi?