B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,279
- 2,733
nakumbukaaa kipindi hichoo niko skull mojaaa ya boarding ikoo mwagaa juu[usangi}wanaiita shigapound[shinga tiriiiiiii],kulikuwaa kunabaridi sanaa asee...kimbembee ni kuogaa sasaaa,wazee tulikuwa tunapigaa paspotii sizee,unaoshaa kwapaaa,unajifutaa na sponjiii mwilini,unanawaa uso na kichwaa kwa sabuni,then ndo ntoleee siku mbili hiyo mzee..dah!!kwa walee waliosomaa bording skull wanakumbukaaa hii...NIPEE NA WEWE KITUKO CHA SKUL KWAKO