Lucas
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,457
- 1,110
acha tu nini ubwabwaaa, tulikuwa tunagombania utandu wa juu na ukoko wa chini ukitukuta tumeinamia sufuria tunakwangua ukoko utoamini. siku ya nyama ndo usiseme unakuwa na sahani tatu tofauti ili urudie upate nyama nyingi.
wewe unanikumbusha viranja tulivyokuwa tunajua kujipendelea na kitu inautwa "top layer" kwenye maharage