Ushawai tumia blackberry internet bila ya kulipia kifurushi cha huduma yao

MPENDA USAWA

Senior Member
Oct 15, 2012
169
29
Unaweza kutumia baadhi ya applications ktk sim yako(blackberry) bila ya kulipia huduma ile ya bb.....apps izo ni kama whatsapp,jamiiforum,viber,operamini........bundle utakalotumia ni lile la kawaida.....so for more info ni pm!!!

Sent from my BlackBerry 9000 using JamiiForums
 
Utakuwa umepotea jukwaa, hii nadhani lifaa uiweke kule kwenye matangazo madogomadogo, hapa ni science and tech, watu wanashusha ujuzi hadharani, mambo ya pm wapi na wapi mkuu!!!
 
Hyo ni eazy sana na wa2 tumeanza kutumia toka mwaka jana ww umejua leo unataka kujikuta expert kumbe ni kitu cha kawaida ni unaenda kwenye options then tcp ip unaenable kwa kueka tick then kwa chini unaandika INTERNET af una reboot device yako kwa kuchomoa betri kama ikizingua badilisha line af uwashe device yako then ikishawaka rudishia line yako utapokea ujumbe wa blackberry registration ujue umefanikiwa
 
Unaweza kutumia baadhi ya applications ktk sim yako(blackberry) bila ya kulipia huduma ile ya bb.....apps izo ni kama whatsapp,jamiiforum,viber,operamini........bundle utakalotumia ni lile la kawaida.....so for more info ni pm!!!

Sent from my BlackBerry 9000 using JamiiForums
pm zanini yakhe?

Ni kiasi cha kuinstall operamini au UC browser kwa BB yako kisha ingia menu ya simu yako then option>advance option>TCP na hapo kwenye APN weka tick then shuka chini andika internet, username na password usijaze kitu pabaki blank, save then click Alt+shift ya kulia+Del simu yako itaji-restart mchezo kwishney.
hapo utakuwa unaweka line yoyote inakubali.
ANGALIZO
Njia ya juu ni normal GPRS (pay-as-you-use) inafaa kama lengo ni kutumia whatsapp na kusurf na vitaka taka vingine.
Ila kama wewe ni mtu wa kudownload na kustream videos nashauri bora uunge BIS social ya voda AU Zantel @tsh 500 unapata unlimited speed hadi 200KBps masaa 24
 
Hyo ni eazy sana na wa2 tumeanza kutumia toka mwaka jana ww umejua leo unataka kujikuta expert kumbe ni kitu cha kawaida ni unaenda kwenye options then tcp ip unaenable kwa kueka tick then kwa chini unaandika INTERNET af una reboot device yako kwa kuchomoa betri kama ikizingua badilisha line af uwashe device yako then ikishawaka rudishia line yako utapokea ujumbe wa blackberry registration ujue umefanikiwa

Hapo kwenye red haina haja mkuu ni kiasi cha kubonyeza Alt+Right Shift+Del kitu kitajirestart kilaini
 
Mleta uzi jifunze kupitia hawa wenzio ili siku nyingine na wewe upate faida ya usivyovijua si kila kitu lazima kiende PM!
 
wakuu nimejaribu 9700 lakini sijapata sms na imebaki edge sio EDGE. Au mpaka nilipie kwanza ndio nifanye huo mchakato? Msaada please
 
hebu nipeni process vizuri nataka kuirskebisha bb yangu nile raha jamani naanzia wapi??????

msaada wakuu.
 
Unaweza kutumia baadhi ya applications ktk sim yako(blackberry) bila ya kulipia huduma ile ya bb.....apps izo ni kama whatsapp,jamiiforum,viber,operamini........bundle utakalotumia ni lile la kawaida.....so for more info ni pm!!!

Sent from my BlackBerry 9000 using JamiiForums

Hamia kwenye bb10, BIS imeshapitwa na wakati.
 
Back
Top Bottom