Inawezekana hii ndio siri ya kampuni za huduma za simu kufanya gharama ya bando kuwa kubwa

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,721
Wanasema changamoto ya teknolojia uletwa na teknolojia yenyewe.

Kuna kisa kimoja cha mashirika ya posta miaka ya nyuma kupinga mifumo ya barua pepe lakini mwisho wa siku walikubari na kuwa pamoja.

Kisa cha pili paypal ilipingwa sana na mashirika ya western union na money grame lakini mwisho wa siku wakawa pamoja.

Tuje kwenye mada:
teknolojia ya mawasiliano sauti na internet ni kama mtu na mwanae kwa sababu wote ni kundi la mawasiliano.

Makampuni ya simu miaka ya nyuma yalipata faida nzuri kwa kipindi cha nyuma kwa huduma ya kupiga simu na sms kwa sababu teknolojia ilikuwa changa upande wa vifaa na simu janja bado ijakomaa kisoftware.

Makampuninya simu haya kujua mbeleni kutakuwa na mageuzi ya watu watapunguza huduma wanazoziendesha kupiga simu na sms.

Teknolojia ya internet ilivoboreka na njia rahisi kupitia kwenye vifaa vya mawasiliano na simu janja na kuja kwa kasi hapa kimbembe kilipo anza.

Internet imekuwa chukizo kubwa kwenye maslahi mengi ya watu ambao yapo kinyume na maslahi yao.

Mfano unaweza kufungua duka la online na usiwe na ofisi na ukabaki nyumbani.

Unaweza kuendesha tax bila kusubiri mteja sehemu ya kupark tax.

unaweza kufanya kikako sehemu yoyote.

na n.k

Haya machukizo kwa upande huu wa makampuni ya simu ni kuwa biashara kubwa na faida ilikuwa mawasalino na sms.

Sasa watumiaji wengi hawapo tena ukilinganisha sasa watu wengi wapo kwenye mitandao ya kijamii mfano whatsapp,facebook,jamiiforum,zoom,youtube na n.n.k

Mimi mwenyewe naweza kupiga simu labda kuna shida tu ila kazi nyingi na mda mwingi ni internet.

Mitandao ya huduma za simu imeona kuongeza ghalama hili tushindwe kumudu turudi kwa lazima kwenye huduma zao za kupiga na sms.

Kitu kimoja nacho pendekeza huduma zao wakitaka kuziboresha sasa mfumo wa mawasiliano wa kupiga na sms ugeuzwe kuwa sehemu moja ya bando yani kuwe na kifurushi cha bando na si dakika wa iladadi ya sms.

Mfano: sms 1 = 15kb, dakika maongezi 1 = 1mb

ni wazo tu
 
Umezungumza ukweli wa hali halisi na ushauri wako ni kuntu
 
Waache tamaa bado kuna kundi kubwa tu linatumia viswaswadu na hata sisi wenye smart kuna simcard ya muda wa maongezi na sms na simcard kwa ajili ya data tu.
 
Back
Top Bottom