Ni kweli usemayo ni heri aoe au amuweke katika mazingira ambayo ni ya kifamilia itamsaidia vyenginevyo anamkomaza akiwa mdogo sana, kuna mawili yatatokea, ama mazingira yatamjenga aweze kujitegemea au atakuwa muhanga wa majangili ya jamii inayomzunguka. Elewa neno MAJANGILI.Kimkakati sana hili bandiko.
Ila sijaona ni wakati gani unafuatilia maendeleo yake Mkuu, kama mzunguko wa maisha yenu upo hiv ulivyoelezea huyo binti yupo kwenye mazingira hatarishi sana tofauti na vile unavyoweza kufikiri.
Huyo binti muda wowote anaweza kuwa mhanga wa ukatili na wala wewe usifahamu/kujua au ukaja kujua ikiwa ushachelewa.
Mtengenezee mazingira rafiki kwa umri wake Mkuu. Usimpore utoto wake ili tu wewe uweze kuishi kwa amani, kuna hatua muhimu sana hasa ikizingatiwa huyo ni mtoto wa kike. Anahitaji kuandaliwa vyema aje kuwa mama wa wanawe pia.
Ni ngumu kwa wengi kuelewa hili swala.
Naona kama inakuja mara inakata, ukipenda boga penda na ua Lake, hakuna mtoto mwenye tabia mbaya, mtoto hujifunza tabia kwa watu waliomzunguka.Huyo mwanao ana tabia gani mbaya?
Maradhi mazuri ni yepi tena mkuu hivi kuna maradhi mazuri na mabaya, labda kwa kujaribu kukisia maradhi mazuri ni nyege tu maana hakuna dawa tamu kama dawa ya kutibu nyegeBrother hauna mzazi yoyote ambaye yuko hai ?
Kama bibi yake yuko hai jaribu kumpeleka akapate maradhi mazuri, huyo mtoto una mduhurumu vitu vya msingi baadae atakuja kukulahumu huyo 🥹
hasa baba ake anaeishi naeNaona kama inakuja mara inakata, ukipenda boga penda na ua Lake, hakuna mtoto mwenye tabia mbaya, mtoto hujifunza tabia kwa watu waliomzunguka.
Shida sio kujua mtoto ndio kipaumbele,hasa baba ake anaeishi nae
shida ni mtoto kuwa kipaumbele sana mpaka akajua hapo ndo tabu ipo
nimejaribu kujibu naona maelezo marefu mana mjadala mpanaShida sio kujua mtoto ndio kipaumbele,
swali langu huyu mtoto awe wetu mm na ww alafu itokee awe tabia yeyote mbaya je utaondoka nyumbani. Utashauli nimfukuze mtoto wa miaka 8 jaribu we kuwa mm kwanza ,
Kama mama yake mzazi Yuko hai ni Bora ampeleke akaishi naye.Kimkakati sana hili bandiko.
Ila sijaona ni wakati gani unafuatilia maendeleo yake Mkuu, kama mzunguko wa maisha yenu upo hiv ulivyoelezea huyo binti yupo kwenye mazingira hatarishi sana tofauti na vile unavyoweza kufikiri.
Huyo binti muda wowote anaweza kuwa mhanga wa ukatili na wala wewe usifahamu/kujua au ukaja kujua ikiwa ushachelewa.
Mtengenezee mazingira rafiki kwa umri wake Mkuu. Usimpore utoto wake ili tu wewe uweze kuishi kwa amani, kuna hatua muhimu sana hasa ikizingatiwa huyo ni mtoto wa kike. Anahitaji kuandaliwa vyema aje kuwa mama wa wanawe pia.
Ni ngumu kwa wengi kuelewa hili swala.
DuhMama yake yupo hai lkn hana makazi maalum, mama yake tulitengana miaka mingi iliopita binti akiwa mdogo baadae nikaja owa mwanamke mwingine, kutoka na maisha alikuwa anaishi kwa mama yake ilibidi nimchukue dogo nikae nae, baada kama miaka 4 ya kuishi mke niliekuwa nae amesema eidha aondoke yeye au mtoto arudi kwa mama yake,
Mama yake ni muhangaikaji leo yupo Dar anaweza kaa miezi miwili kesho ukasikia yupo Mbeya ,
Kiukweli mm nimekataa kumtoa mtoto ili nibaki na mwanamke kupitia hili mwanamke akaamua arudi kwao nimebaki na mtoto , kama ww unafanyaje??
Hivi mwanamke uliyepata uchungu wa kuzaa,unaachaje mtoto wako Aishi maisha haya?? Ni ajabu sana kwa kweliWatu wanalaumu tu kwa vile hayajawafika, yakiwafika mtamuelewa jamaa, mkuu komaa na binti yako.
kuna wanawake hawafai hata kuitwa mama, basi tu kwa vile walibeba mimba na kujifungua.
Lakini kamwe upendo wa mama wa jambo hauwezi kuzidi wa mama mzazi mwenye AKILI.Mara nyingi inatokea ikiwa mwanaume hana maokoto
Ukiwa na maokoto mwanamke atakupenda na kizazi chako chote
Mama yake yupo hai lkn hana makazi maalum, mama yake tulitengana miaka mingi iliopita binti akiwa mdogo baadae nikaja owa mwanamke mwingine, kutoka na maisha alikuwa anaishi kwa mama yake ilibidi nimchukue dogo nikae nae, baada kama miaka 4 ya kuishi mke niliekuwa nae amesema eidha aondoke yeye au mtoto arudi kwa mama yake,
Mama yake ni muhangaikaji leo yupo Dar anaweza kaa miezi miwili kesho ukasikia yupo Mbeya ,
Kiukweli mm nimekataa kumtoa mtoto ili nibaki na mwanamke kupitia hili mwanamke akaamua arudi kwao nimebaki na mtoto , kama ww unafanyaje??
KabisaKama mama yake mzazi Yuko hai ni Bora ampeleke akaishi naye.
Ni mwanao au?Kijana wa miaka 7 naishi nae geto mwaka wa pilii huu [emoji120][emoji120][emoji120].
Nataman kuwekaa picha hapa ninazopiga naye Kila cku tukiwa zetu geto ,tukipika,tukifua,tukiangalia mpira yaan n full burudanii,,
Changamoto niliyonayo n yy ajuagi muda maalumu wa kusomaa anaweza shtuka usingizi saa Saba usiku akawasha taa akaanza kusomaa vitabu vyake mpk achoke ,ss mm akishawasha taa tu usingizi kwisha NAMI kumkataza kutokusoma nashindwa najisemeaga labda akisomaa muda huu ndio anaelewa zaidii[emoji23][emoji23][emoji23]
Kiukwel n msela wangu ,n rfk pia n mshikaji...
Atamlaumu nn? Yaan baba ashindwe kumpa malezi binti yake, afu babu au bibi ndo awezee??Brother hauna mzazi yoyote ambaye yuko hai ?
Kama bibi yake yuko hai jaribu kumpeleka akapate maradhi mazuri, huyo mtoto una mduhurumu vitu vya msingi baadae atakuja kukulahumu huyo 🥹
Nakazia hii.Kimkakati sana hili bandiko.