Ushawahi mkomesha demu aliyekuletea janja janja

Stability

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
571
Reaction score
1,829
Baada ya kula nauli zangu sana, jana tumekutana nae mombasa karibia na g.mboto, nikamuambia ngoja nikununulie chips, akakubali na tukaenda kenye banda la chips, tulivyokaa nikaenda kwa mchoma chips.

Nikamwambia mpemba kuwa yule dada amesema umfungie chips kuku 3 , moja mpelekee pale ale na nyingine unipe mimi na yeye ndio atalipa, yule mpemba akamuuliza yule demu "DADA NIMFUNGIE BRO HAPA ?" Demu akajibu "NDIO"

Basi akafanya hivyo ilivyofika ya kufunga nikachukua nikamwambia ngoja nimpelekee mdogo wangu niliekujja nae asione namchomesha mahindi, nikamuaga mchoma akasema poa boss, nikaondoka.

Kilichobaki huko ni kimbembe, mbona alilipaaa baada ya kumtishia polisi.

Namba nika block
 
🙌🙌🙌 Vijana wa hovyooo
 
mimi huwa nampa hela hadi mwenyewe anasema sijawah ona mtu mkarimu kama wewe hadi ananitunuku
 
Sio ujanja ni upumbavu!

Sterehe gharama, kama huwezi kaa nazo mbali !
 
Akila nauli siku ya kwanza.
Siku inayofuata unapotezea na unarudisha urafiki.

Atasahau na kuna Siku ataomba hela.
Akiomba unakubali kumtumia ila sasa hela iko Cash. So asikilizie ukimaliza mambo yako utatuma.

Hakikisha mara zote anazopiga sim kukumbusha muamala wake. Mpe matumaini.😁😁😁😁

Alaf jioooooon kabisa haupokei sim zake.
Maumivu atayapata tu na yeye.
 
Umenikumbusha jamaa Moja kitaa that time all back2014 I remember was my first time na zama dsm kibabe nikafikia tabata aroma kwa bro, tuLIKUA tunaishi na vijana wa mwenye house Mzee Fulani ye alikua aishi hapo

sa wale vijana wake kina Moja alikua chekibob bonge la shabalanks AF mtoto wa kitaa, akapata demu Moja hivi, huyo demu alikua anapiga inshu za mikopo na PESA ilkuepo sa kala sana nauli za muhuni na jamaa NAE kalaa hela za huyo demu ila jama akamaindi kuchunwa sana mzigo anapigwa tarehe, akaona isIWE kesi.

akamuibukia KWAKE na huyo demu sikumbuki wapi jamaa akamtishia kumpiga Akala mzigo kwa nguvu akulizika akabeba na simu za shori mazee akamtupia laini zake akasepa, jamaa alivo tupa stori niliogopa sababu NILIKUA mdogo sikuwa na cha kuchangia jamaa akadai huyo demu Hana cha kufanya hapa mjini.

Kumbe demu mafia kakodi wahuni wakamteka jamaa wakampeleka chimbo jamaa akadundwa alaf akaambiwa anyonye konga la dude Moja litekaji huku anarekodiwa na demu mwenyewe jamaa akatii kuokoa uhai ili video isivujishwe akaambiwa arudishe kila kitu na PESA juu, jamaa aliuza vitu hadi KUMALIZA huo mtiti.
 
Yani wahuni wanakunyonyesha mboo af unasimulia au me ndo sijaelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom