Ushawahi kuwaza kujiua!

flamini

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
533
585
Habari wakuu

Zamani nilikua nashangaa sana watu wanaojiua na kuwaona kama hawajielewi now ndo narealize kua hata mimi naweza kufanya hivo,sometime natamani ningekua na pistol nitake my life as fast as possible

Pain mixed with guilt, anger, and regret makes for a bitter drink, wakuu vipi nyie kama kuna mtu alishawahi pitia hali kama hii?
 
Hapana na sidhani kama kuna hali yeyote nitapitia hapa dunia nitamani kujitoa uhai...NO! Utajiua leo kumbe kilichokufanya ujiue leo kesho ungepatia solution yake tena very simple ila inakuwa ndo too late haupo....Nimejibu kwa experience nimeshapitia mambo magumu mno yanapokuwa mapya ila ukipambana nalo linakuja kuwa ni historia..hata hata kama litakuchuka mwaka lakini litakuja kuwa ni historia tu.
 
Ishi tu mkuu, Maisha yenyewe haya ni kama basi liliojaa, juu mizigo, ndani wengine wamesimama, wengine wanakutapikia,,, ndo hivyo sote hatuendi sehemu moja,, ipo siku watashuka UTAPATA siti
^^
 
Hapana na sidhani kama kuna hali yeyote nitapitia hapa dunia nitamani kujitoa uhai...NO! Utajiua leo kumbe kilichokufanya ujiue leo kesho ungepatia solution yake tena very simple ila inakuwa ndo too late haupo....Nimejibu kwa experience nimeshapitia mambo magumu mno yanapokuwa mapya ila ukipambana nalo linakuja kuwa ni historia..hata hata kama litakuchuka mwaka lakini litakuja kuwa ni historia tu.
hiyo naelewa but kuna somethings are very hard kwa akili kuvumilia bro
 
Hapana mkuu ni hatua mbaya hiyo.

Embu jaribu hata kupiga kali huenda ukakaa sawa.
 
Kujia hapana. Ila kuna siku mtu unaamka na hali ya kutoogopa kifo kabisa, na siku zingine unaamka na hali ya kuogopa kifo, kuwa na wasi wasi pamoja na hofu...
 
Kuna kujiua Direct na Indirect
Yaani mtu anasema hawezi kujiua "Direct" halafu wakati huo huo anakunywa mipombe kupita kiasi inayounguza Maini! Anavuta Sigara kama moshi wa treni ya Makaa! Mtu anafanya ngono hovyo na hasa ngono zembe halafu anadai hawezi kufikiria kujiua!!

Ni kweli kila kiumbe chenye uhai kitaonja umauti lakini Binadamu tumepewa akili ya kujua zuri na baya,

ni kweli kifo kinapangwa na mola kwa kila kiumbe but mateso ya maradhi kabla ya kifo ni magumu na unakuwa unatesa na wengine hasa familia yako.
 
Sio kuwaza tu. Mwenzenu nilishataka na kuchukua hatua za kujitoa uhai mara 4 lakini zote zilifeli
Sasa nikirudia nitatumia njia ya ukali isiyoacha mwanya wa kuponea.

Kama kuna wadau humu wako tayari kusepa kutoka kwenye hii dunia waje tushauriane njia nzuri
 
Nimewahi kuwaza ila sitamani kabisa wala kusikia. Fikiria umepata tatizo unalodhani ni kubwa sana, halafu ukajiua, maana yake ukaondoka duniani; swali ni je unajua huko unaelekea wapi? Pia nani aliekuhakikishia kuwa huko kuna maisha mazuri kuliko haya au hautopata tatizo kama hilo lililokuondoa duniani achilia mbali kubwa zaidi? Na likitokea tatizo huko ulikokweda utajiua tena? halafu uende wapi? Mungu asante kwa uhai, nauthamini sana
 
Wewe kimsingi huwezi kujiua.

Yule roho wa kuzimu anapokuvamia huwezi subiri pistor.
 
Nimewahi kuwaza ila sitamani kabisa wala kusikia. Fikiria umepata tatizo unalodhani ni kubwa sana, halafu ukajiua, maana yake ukaondoka duniani; swali ni je unajua huko unaelekea wapi? Pia nani aliekuhakikishia kuwa huko kuna maisha mazuri kuliko haya au hautopata tatizo kama hilo lililokuondoa duniani achilia mbali kubwa zaidi? Na likitokea tatizo huko ulikokweda utajiua tena? halafu uende wapi? Mungu asante kwa uhai, nauthamini sana
Ukifa unakuwa katika hali ya kutokuwepo/yaani kama ilivyo kuwa kabla hujazaliwa.

Ondoa hofu mkuu kwa haya uliyokaririshwa
 
Ukifa unakuwa katika hali ya kutokuwepo/yaani kama ilivyo kuwa kabla hujazaliwa.

Ondoa hofu mkuu kwa haya uliyokaririshwa
Ukiwaza hivyo unakuwa unapotea ndugu. Kuna maisha mengine nje ya hayo unayoyajua, sio kila kitu unaweza kukiona moja kwa moja, there are issues beyond comprehension which are spiritual and not physical
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom