Ushawahi kusikia kitu kiitwacho Trojan Horse?

Ushawahi kusikia kitu kiitwacho Trojan Horse?

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,563
Reaction score
7,321
Huyu alikuwa farasi mkubwa wa mbao wa kutengenezwa.
Alitengenezwa na jeshi la Ugiriki.
By then kulikuwa na vita baina ya Wagiriki na Troy.
So baada ya kupigana sana, mwisho wa siku Wagiriki wakatengeneza huyu farasi wa mbao.
Wakampeleka mpaka nje ya mji wa Troy halafu wao wakasepa.
Sasa watu wa Troy wakahisi hiyo ni zawadi kutoka kwa Wagiriki hasa baada ya kushinda vita.
Kumbe ndani ya farasi huyo kulikuwa na wanajeshi wa Kigiriki.
Wao wakamchukua na kumuingiza ndani ya mji.
Kilichotokea?
Wakati watu wa Troy usiku wamelala na mji umetulia, Wanajeshi wa kigiriki wakatoka na kukinukisha.
Trojan wakapigwa.
Vita vikaisha.

Duniani akili tu.

IMG-20250428-WA0000.jpg
 
Vipi na yale mapipa yaliyokuwa yanangurumishwa na wayahudi milimani, waarabu wakadhani ni mizinga wakakimbia wakidhani jeshi la israel lina silaha kali
 
Kuna ile habari ya wakoma wa kiisraeli waliokuwa wanatembea kuelekea majeshi ya washami. Mshindo mkubwa wa kutembea ulisikika ukasababisha jeshi la shami likimbie likidhani limevamiwa na jeshi la israel likiwa na farasi wengi, wakaacha mali nyingi ikiwemo misosi
 
Mbinu za kivita ni nyingi sana, unaweza kumshinda adui yako kwa mbinu hafifu na dhaifu licha ya kuwa ana jeshi kubwa imara lenye silaha kali na zana za kivita zenye nguvu kubwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom