Hahahaaaaa,nawewe naye!Test ya form one ndio inakupa pressure hivyo?Form 1 swali lilisema mention and explain types of family. Nika mention, baadae naona ile explain, nikakata, ile nataka kuanza kuandika teacher akasema bado dakika 5. Nilitetemeka mikono haiandiki. Nikajisikia raha ya ajabu. Baadae nikaona vitu vyeupe kwenye boxer , jamaa kuwauliza wakaniambia ndo bao hilo
Ilikuwaga hizi special schools. Term ya Kwanza mi nimetoka kwetu Ni kichwa nije KU feli kwa kitu nachokifaham , ndo hapo pressure ilipokuwepoHahahaaaaa,nawewe naye!Test ya form one ndio inakupa pressure hivyo?
Masomo ya Mechanical drafting,Electrical drafting huwa ni gumble!Either unafaulu sana au unafeli sana!Nna rafiki zangu wawili wamewahi kunihadithia mmoja ilimtokea mtihani wa shule ya msingi na mwingine sekondai.
Engineering Science, somo langu pendwa kuliko masomo yote nikiwa na G.R.A Titomb pembeni utaniambia nini?
Mwaka wetu tuliletewa mtihani wa Electical Drafting wa ajabu sana, kwanza walichelewa kuutuma ukaja mchana tena kwa fax, pili tulitegemea utakua nyanya kama kawaida, baada ya kugawiwa karatasi za maswali nakumbuka nilipotoka nilisema hapa ntapata Banda au Mswaki, haingewezekana kupata katikati, yaani ni A au F. Nashukuru mambo yakaenda vizuri.
Oooh sawa!Ilikuwaga hizi special schools. Term ya Kwanza mi nimetoka kwetu Ni kichwa nije KU feli kwa kitu nachokifaham , ndo hapo pressure ilipokuwepo
Ulikuwa Tech gani kiongozi??Nna rafiki zangu wawili wamewahi kunihadithia mmoja ilimtokea mtihani wa shule ya msingi na mwingine sekondari.
Engineering Science, somo langu pendwa kuliko masomo yote nikiwa na G.R.A Titomb pembeni utaniambia nini?
Mwaka wetu tuliletewa mtihani wa Electical Drafting wa ajabu sana, kwanza walichelewa kuutuma ukaja mchana tena kwa fax, pili tulitegemea utakua nyanya kama kawaida, baada ya kugawiwa karatasi za maswali nakumbuka nilipotoka nilisema hapa ntapata Banda au Mswaki, haingewezekana kupata katikati, yaani ni A au F. Nashukuru mambo yakaenda vizuri. Huu ndio mtihani pekee ningeweza kutokewa na hali kama hiyo, kama haikutokea siku hiyo, haitatokea tena.
Ila bahati mbaya ukawa mwanzo was chaputa maana niliitamani ile raha ijirudieOooh sawa!
Hivi haujawahi kuuliza sababu za kisayansi kwanini?Hii ilinitokea paper 2 ya advanced mathematics npo na pga swali la probability wakati huo msimamizi anasema tumebakiwa na dakika tano na swali nalijua ikatokea mvutano tu plus panic nikajikuta nakosa nguvu mwisho nikapiga bao...niliwasimulia washkaji walicheka sana
Masomo ya Mechanical drafting,Electrical drafting huwa ni gumble!Either unafaulu sana au unafeli sana!
Mimi nilisoma mechanical drafting ila siku ya paper niliingia mitini na nilikuwa nikipata A kila test ,mock na pre-national !
Walioingia wengi walikula miswaki na waliofaulu walilamba D na wawili watatu C!
Wahanga kumbe ni wengiKuna paper fulani ya Advanced Physics ilinipatia bao zuri, tamu na maridadi kabisa kuwahi kutokea[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ulikuwa Tech gani kiongozi??
Sure!Drafting zote zilikua ngumu lakini tulizoea Electrical inakuja ya kizembe kizembe, sitausahau ule mtihani. Nashukuru niliweka heshima ya A, wengi waliondoka walichezea kiwango cha D na F.
Mkuu mi nilipiga Mazengo,then Moshi tech!Ifunda, The Glorious, Live longer Forever mkuu, with our motto skills and efficiency.....
Ohoooooooo!!!!Ila bahati mbaya ukawa mwanzo was chaputa maana niliitamani ile raha ijirudie
Hivi haujawahi kuuliza sababu za kisayansi kwanini?
Wahanga ni wengi,ila sema wengi huwa wanaficha!Mkuu sijawai uliza kwa mtaalamu wa afya,ilanilipokua nikiwasimulia jamaa wakafunguka kama watu watano walio pga bao kwenye paper tofauti tofauti..
Mkuu mi nilipiga Mazengo,then Moshi tech!
Aiseeeeeee..... msimamiz alikuwa madame auKuna paper fulani ya Advanced Physics ilinipatia bao zuri, tamu na maridadi kabisa kuwahi kutokea[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hawahesabiki mkuuWahanga kumbe ni wengi