Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,593
- 23,194
Wanaume tunaviziwa sana,inabid kuwa makin sana
Mnapelekwa wapi?Wanaume tunaviziwa sana,inabid kuwa makin sana
Mtu anajileta magheto kimasihara kumbe ndo kaja kuolewa hvyoMnapelekwa wapi?
Ukimwambia kusepa?Mtu anajileta magheto kimasihara kumbe ndo kaja kuolewa hvyo
Hasepi,wengi ambao sio wakatili ndo huwa tunaoa hvyoUkimwambia kusepa?
Duhh ni ujasiri kwenda kuhamia kwa mtu lakini🥱Hasepi,wengi ambao sio wakatili ndo huwa tunaoa hvyo
Hakuna kiumbe kijasiri hapa dunian kama mwanamke,fikiria anaweza tongozwa leo na akapelekwa mpaka hata iran huko kuishiDuhh ni ujasiri kwenda kuhamia kwa mtu lakini🥱
Eenh huko hapana aisee! Sio kila mtu jasiri jmn wengine ni shida zinawapelekesha tuHakuna kiumbe kijasiri hapa dunian kama mwanamke,fikiria anaweza tongozwa leo na akapelekwa mpaka hata iran huko kuishi
Nawe tupe zako!
Mlivyo graduate na ndoa ikavunjika 😹Nilisha wahi kuoa kimasihara, mambo ya chuo na kusaidiana mipangilio ya boom
Hahah👋😁😁😁,mie ninayo ya siriazi
In areas of high illiteracy, sexual topics become primary conversations. It's not like they are keen to learn about Socio-economic status but they'd rather teach their sexual expertise.Ilikuwaje mpaka ikatokea ukaingia kwenye ndoa bila kukusudia.
Wana jei efu mkuye hapa mtuelezee kidogo😅😅😅😅
Wewe pekee ndiyo umewahi olewa kama sii kuoa kimasihala.Kwenye mambo ya msingi hakuna masihala kama chukua chako mapema wanavyo fanya masihala kwenye mambo ya msingi!Ilikuwaje mpaka ikatokea ukaingia kwenye ndoa bila kukusudia.
Wana jei efu mkuye hapa mtuelezee kidogo😅😅😅😅