King Mgogo
Member
- Dec 6, 2025
- 54
- 74
Ilikuwaje mpaka ikatokea ukaingia kwenye ndoa bila kukusudia.
Wana jei efu mkuye hapa mtuelezee kidogo😅😅😅😅
Wana jei efu mkuye hapa mtuelezee kidogo😅😅😅😅
Ilikuwa ni kwa ajili ya maslahi ya chuo au ulidumu nae Hadi leoNilisha wahi kuoa kimasihara, mambo ya chuo na kusaidiana mipangilio ya boom
Mkuu naomba uelezee vizuri tena kwa upana 😅Nilisha wahi kuoa kimasihara, mambo ya chuo na kusaidiana mipangilio ya boom
Na walokole wanapenda mizagamuano ya vichakani mno .Nilishaoa kimasihara baada ya kushiriki mahaba pori na binti wa kilokole tukafumaniwa na baba yake.
Baba yake binti alimkataa binti akisema si mtoto wake,na Mimi sikufanya ajizi nikamweka ndani.
Tunavyoongea huyu mke wangu ni mchungaji wa makanisa ya kipentekoste na yumo humu JF, siku moja nitawatajieni jina lake.
CC Mjusi Sharobalo.
waliolewa kimasihara na kuoa wakaishi kwa amani na kulea familia, ila sio watoto wa 2000 aka GenZIlikuwaje mpaka ikatokea ukaingia kwenye ndoa bila kukusudia.
Wana jei efu mkuye hapa mtuelezee kidogo😅😅😅😅
Mambo ya one some, selfie, malladona nyeto tuwache kidogoKwa vijana Nyeto tunakutana n Kama mzaha ila kuachana Sasa.
Aje kati ikiwezekana na kakaakeMimi nataka nimuoe Kimasihara Dada yake Mcmillan de Maghayo yapo kichwani ni loose Nut
Sijui hii inasababishwa na nini, labda hawapati chance ya kungonoka kutokana na namna familia zao zilivyo.Na walokole wanapenda mizagamuano ya vichakani mno .
Wanaogopa macho ya watu kwa sababu ya ulokole waoSijui hii inasababishwa na nini, labda hawapati chance ya kungonoka kutokana na namna familia zao zilivyo.
Hata pombe wanakunywa sana japo kwa kujifucha kama kobazi wanavyomla kitimoto nyuma ya pazia.Wanaogopa macho ya watu kwa sababu ya ulokole wao
Naam mkuu, huu uzi nimeuona na kuupita tangu mchana sijacoment upuuzi wala la heri, ninastori moja matata sana nilitaka kuiandika ndani ya huu uzi ila sema naona uvivu ndio maana nikauweka kipolo hadi muda huu.Nilishaoa kimasihara baada ya kushiriki mahaba pori na binti wa kilokole tukafumaniwa na baba yake.
Baba yake binti alimkataa binti akisema si mtoto wake,na Mimi sikufanya ajizi nikamweka ndani.
Tunavyoongea huyu mke wangu ni mchungaji wa makanisa ya kipentekoste na yumo humu JF, siku moja nitawatajieni jina lake.
CC Mjusi Sharobalo.
Unanikumbusha penzi la binti mlokole, nimewahia kumuangushia uzi humu kule jukwaa la malavidavi.Nilishaoa kimasihara baada ya kushiriki mahaba pori na binti wa kilokole tukafumaniwa na baba yake.
Baba yake binti alimkataa binti akisema si mtoto wake,na Mimi sikufanya ajizi nikamweka ndani.
Tunavyoongea huyu mke wangu ni mchungaji wa makanisa ya kipentekoste na yumo humu JF, siku moja nitawatajieni jina lake.
CC Mjusi Sharobalo.
Hebu weka hiyo story tuione mkuu, labda tutajifunza kitu.Naam mkuu, huu uzi nimeuona na kuupita tangu mchana sijacoment upuuzi wala la heri, ninastori moja matata sana nilitaka kuiandika ndani ya huu uzi ila sema naona uvivu ndio maana nikauweka kipolo hadi muda huu.