ushawahi kunywa supu ya huyu kiumbe??

ushawahi kunywa supu ya huyu kiumbe??

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
jamani nipo kwenye harakati za kuadaa supu hapa kwahiyo marafiki zangu andaeni mabakuli yenu kwa ajili ya kula supu yetu imenona
 

Attachments

  • nyoka supu.jpg
    nyoka supu.jpg
    48.9 KB · Views: 383
Mkuu kwakuona hivyo supu itakuwa ngumu
kumeza ila kama hujaona ni wazi ikiugwa
vizuri unaweza kula tu bila kujua lolote.
 
Hahahahahaha!
Hii imenikumbusha mbaaaaaaaaali sana.
Hiyo kitu inaitwa rocky python(chatu)kwa chapati ni balaa tupu.

Alafu pia ni kichocheo cha gwaride,yaani ni zaidi ya pweza lol!
 
aiseeee babayangu unanikumbusha enzi za ujana wangu nilipo kuwa nafanya kazi uchinani na japenga kila asubui na jioni napata kikombe kimoja, sasa ivi nimerudi huku mkuu rombo nimeikosa
 
aiseeee babayangu unanikumbusha enzi za ujana wangu nilipo kuwa nafanya kazi uchinani na japenga kila asubui na jioni napata kikombe kimoja, sasa ivi nimerudi huku mkuu rombo nimeikosa
nilipata shida sana miezi ya mwanzo mwanzo kule THAI, ila kwasasa nishazoea sana hii kitu ukila na vitumbua yani mchana huna haja ya hata ya kula so sweet and tasty
 
nimeishia tu kumeza mate....wallah naapia atakua mtamu kuliko hata Noah
 
...asee sikuwahi jua kama huyu mdudu ndo ibilisi, na mdudu gani ni malaika nianze kumla huyo ili nibarikiwe nishinde vishawishi...

Njiwa mkuu, Ha ha haahaaa (Joke)
 
...teh..tehhe mbona waganga wanawatumia kiongozi..muongozo tafadhali..

Basi atakua balaa, si unajua hata kwenye maandiko yetu tunaambiwa tuwe wapole kama huyo? na hata mapicha yanaonyesha kuwa yeye ni ishara ya utakatifu. Karumanzira wameiga tu.

Tukirudi kwenye point hii supu ni noma sema maandalizi yake sasa, Dah!
 
Back
Top Bottom