Nilikosana na mtu aliona namchukulia poa nanukuu " Alisema hujui kama mie ni mke wa mtu " hakua na pete ila moyoni alikua kishafunga ndoa na mtu.
toka hiyo siku utani wangu kwake ukapungua kwa kifupi huo ni ujinga na utoto fanya kwa mtu wako au ambae unajua ni mwanamke mtani wako kiasi hawezi kufikilia ni ujinga.